Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 248
Wakati wa Kilimanjaroa Marathoni 2019 nilimuona ameambatana na Waziri MwakyembeHuyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561