Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,642
- 2,921
Alikuwa junior saiv karudishwa hapa na cheo cha UDso,tena alienda kusoma mambo ya 'Laws enforcement'.
Huyo sio Tiss...hakuna Tiss anayejianika...alikuwa anawatisha tu kwa manufaa yake binafsi...Wale wamefundishwa kutunza siri kwa gharama yoyote kwa hiyo sio rahisi kujianika..huyo ni mamluki...unaweza ishi na mme wako au mke wako mpk mnazeeka hujui sembuse huyo?