Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Basi muache kuandika vitu msivyovijua mnapoteza maana ya GT. GT hajiamuulii tu kuandika uongo ili aonekane na yeye kaandika kitu. Kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kupotosha
Sijaandika uongo. Aliyenitajia jina la huyo mtu ni mmoja wa wakurugenzi wa mamlaka za nchi hii, ni mmoja wa washauri wa JPM, anakutana sana na huyo kijana hapo ikulu kila anapokwenda kikazi.

Usijifanye unajua kila kitu, heshimu maoni ya kila mtu. Humu ndani tunatumia code names hatutumii majina tuliyopewa na wazazi wetu.
 
Tulishaelezwa kwamba Pengo hana mamlaka tena.

Soma hapa.

Hakika mkuu lile Jamaa Black Ni KAUZU sana zaidi hata ya huyu mwana tunayemjadili hapa..

Yes, Mfipa, huyo kuna kasiri na pengo na kuwepo pale na hatatolewa.
Cc; Pengo

Dah Mkuu Nasikia Pengo ni TISS kitambo sana..

Siku hizi hakuna anayepewa uongozi wa ngazi za juu kwenye makanisa kama sio wa system....na hapo kuna wanayemuandaa amrithi Pengo...makanisa na misikiti mikubwa ina nguvu sana so ni muhimu kuweka watu wao...

Nakubali Mkuu Je ni Yuda Thadeo Ruwaichi?

sidhani mkuu, huyu jamaa ni kama alikuwa "demoted" kiaina, wakatoliki waone hivi tu!
 
Na hili ndiyo Jibu sahihi na ndiyo ukweli wenyewe Mkuu wengine ' wanabwabwaja ' tu. Kuna Mtu kasema Jamaa alikuwa TCRA yaani nimemshangaa hadi nimejikuta nacheka tu kwani hayupo sahihi kwa 100% na alichokisema siyo kweli kabisa ila kama kawaida Watu wengi wamemuamini na kumpa ' Milaiki ' kibao wakati amewaingiza ' Chaka ' ile mbaya.
JF kila mtu TISS au yuko Jikoni.
 
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561
Download Image
tumempa kazinyingine lazima tuwabadilishe wasije nunuliwa na maadui
 
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561

Labda asili yake ni mkoa wa spika
 
JF kila mtu TISS au yuko Jikoni.
Sio kweli kama usemavyo Bali huku ndani ya JF kuna wengine ni ndugu/rafiki za hao jamaa na wengine tumewahi kaa nao sana kama pale Ubungo flats NHC,. Wao walikuwa wamepewa flat nzima moja lakini bado wengine pia walijichanganya nasi kwenye ma flat ya kawaida na hapo ndipo watu waliweza kujua hili na lile kuhusu kazi zao na sio kama unavyofikiri...mengi yanayoelezwa yana kaukweli fulani hivyo jifunze
 
Sijaandika uongo. Aliyenitajia jina la huyo mtu ni mmoja wa wakurugenzi wa mamlaka za nchi hii, ni mmoja wa washauri wa JPM, anakutana sana na huyo kijana hapo ikulu kila anapokwenda kikazi.

Usijifanye unajua kila kitu, heshimu maoni ya kila mtu. Humu ndani tunatumia code names hatutumii majina tuliyopewa na wazazi wetu.

Kwani huyo Mmoja wa Wakurugenzi ambaye unaonekana umemuamini kabisa hadi kukupa hiyo taarifa hawezi Kukudanganya Kiongozi?
 
Back
Top Bottom