Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?

Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561
inasemekana yuko mkoa fulani huko kaskazini anaonyeshwa kihampa, ili aweze kujenga pango/nyumba ya kuishi
 
Mkuu hivi kwani TISS si kuna wahasibu, masecretary, rma, watu it, nk au kila mtu anayefanya kazi TISS amepitia mafunzo ya utimamu wa mwili? Si kuna watu wa usalama (informers) wamesambaa kwenye mabenki, vyuoni na taasisi nyengine za umma na binafsi je hawa nao ni watu wa ngumi jiwe?

Mfano mdogo Dr Kipilimba ambaye ni current DGIS na wakurugenzi wengine waliopita wanautimamu gani kimwili?
Huyo jamaa anadhani kila mlinzi lazima awe na mbavu nene,kumbe yupo anaelinda kwa macho tu yupo unaemuona ameshika silaha na yupo anaekuongelesha tu lakini wote ni walizi tofauti iliyopo ni specialization and division of labour.
Wapo walinzi ambao ni psychologists tu,ukidakwa akikusemesha anajua kama ulifanya au hujafanya jambo husika.
 
kuna jamaa mmoja alikuwa akimlinda mzee lowasa alipokuwa prime minister saivi yuko mamlaka ya anga pale! sijajua ana position gani, nadhani kadri umri unavyosogea hubadilishiwa majukumu.
Anaitwa Aloyce Tendewa alishawahi fanya kazi na Mwl pia ila nilisikia amestaafu huyu
images%20(1).jpeg
ImageUploadedByJamiiForums1451904079.459391.jpeg
ImageUploadedByJamiiForums1451904155.617881.jpeg
images%20(2).jpeg
dsc2148.jpeg
23492361074_02820cf1b2_b.jpeg
images%20(3).jpeg
 
Na usishangae ukiambia kuwa pengine hata Mleta huu ' Uzi ' ni miongoni mwao Mkuu. Huwezi Kuhoji Vitu vizito vizito na ' Nyeti ' kama hivi halafu usiwe ama miongoni mwao au unakaribia kuwa miongoni mwao Hivi kama Wewe siyo Mshirikina unaweza kweli kujua kuwa Watu wengi wanaficha ' Hirizi ' katika Makende / Mapumbu yao yaliyotukuka? Aliyeleta hii ' Mada ' kuweni nae makini kwani huenda hapa anakamilisha ' Assignment ' yake ili hatua fulani ama ' Positive ' au ' Negative ' zichukuliwe na ' Mlengwa '. Hivi hamjiulizi tu kwamba ni kwanini katika Watu wote Yeye ' Interest ' yake ni huyu tu? Kwani waliohamishwa hapo au kubadilishwa ni Yeye tu peke yake? Na ameleta hii ' Mada ' hapa Jamvini akijua kuwa hapa ndiyo kuna ' Vichwa ' vina Akili kuliko hata Wao walioko huko lakini kama haitoshi pia kuna ' Wapuuzi ' fulani watakuwa ' wanafunga ' kwa wayajuayo zaidi kwa Mlengwa / Mhusika. Idara yenyewe tu ina neno ' Intelligence ' sasa mpaka hapo hamjui kuwa hapa tumeshategwa na tayari wote tumetegeka na kumrahisishia Jamaa na ' Departmental Assignment ' yake?
Unajaribu kutengeneza hoja ya kujiweka ukaribu na kujua, lakini binadamu asiye jua vitu ni vizuri akakaa kipya lau hua anapotosha
 
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuzeView attachment 1093561
Atakua sio sukuma
 
Mimi nadhani kwa kuwa jamaa ni "team leader" kuna wakati inabidi afanye "cover" kwa PM ambae hayupo kwenye hiyo picha.

Sababu ni kwamba PM alimwakilisha raisi JPM kwenye msiba hivyo "level" ya ulinzi inapanda kidogo kutokana na uwingi wa watu na pia yule wa PM tuliemzoea nae hakuwepo siku hiyo na hayupo kwa muda fulani.

Ila PM, Ndugai na Dr Bashiru walikaa pamoja pale kwenye msiba wa marehemu mzee Mengi.

Ingawa walikuwa na jamaa wengine nyuma yao lakini huyu bosi alikuwa akifanya "overall look out".

Huyu hawezi kwenda kwa Ndugai kwani atakuwa kama amekuwa "demoted", (nadhani utanielewa hapa) kwani yeye ni "level" ingine.

Lakini kwa tabia yako ya udadisi unaonyesha kitu chaitwa "potential" ulicho nacho, big up.
pamoja sana
 
Back
Top Bottom