Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?


Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze
2019-05-10_20-06-03-jpg.1093561
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Ukiona unamchokoza halafu wala hakufanyi lolote jua ya kwamba bado anamsikilizia Mwenyezi Mungu kwamba ' akudedishe ' uwahi Mbinguni au akuache Kwanza uendelee Kula Matunda ya Tanzania ya Viwanda, Stiglers Gorge na SGR. Na ukiona umemchokoza ( Provoke ) kadri uwezavyo na bado tu akawa anakuvumilia basi akikubadilikia na Kukupiga jua ' Breki ' yako ya Kwanza ni ICU Muhimbili, kisha utarudishwa kidogo Mwaisela au Sewahaji au Kibasila kupunga Upepo mara ya mwisho mwisho na baada ya hapo kwa Maumivu ya Kipigo ' Kitakatifu ' ambacho atakuwa amekupa basi utazidiwa tena ghafla na Kurudishwa ICU kisha muda mchache ujao Ndugu zako watapigiwa Simu waanze kuweka Maturubai huko Kwenu na Kutangaza Msiba wa ' Popoma Mchokozi ' Wewe na baada ya hapo ni Maziko yako ili ukayaanze maisha yako mapya uliyoyataka mwenyewe huko Udongoni / Mavumbini.
We jamaa bhana
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Gentamycine una wapa watu hofu Sana na hadithi nyingi za kusadikika kwenye nchi ya amani Tanzania
ukisoma maandishi yako akili inakuwa kama inapitishwa Afrghanistan
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,811
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,811 2,000
Hapana Ndugai ulinzi wake upo. Huyo hausiki na ulinzi wake imetokea tu coincidence wamekutana katika kumuaga mzee mengi. Huyo ni DSO moshi mpaka muda huu ninapoandika wazo hili.
Kuwa DSO kapanda au kashushwa?
Zile maposhoposho ya ulinzi alizokuwa anapata akisafiri na Rais na huo mshahara wa DSO upi bora?

Naona wamemshusha na kumficha huko
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Na katika hiyo 25% iliyobaki naamini kabisa Mimi nipo pamoja na Wewe Mkuu na Mleta Mada ( Uzi ) Madimba jr bila kusahau wengineo wachache ila hata Mimi hapa hapa nimeanza Kuwaona hao wapo katika hiyo 75% yako Mkuu na ni wengi kweli na si ajabu leo huu ' Uzi ' watautendea haki sana tu kwa Kuuchangia.
Mnajkshtukia tu sisi tuna mambo yetu mengine kabisa humu
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Kwa maana hiyo CID Ni TISS ndani ya Idara ya police au CID Ni waajiriwa wa TISS? Fafanua mkuu
Kwamba CID ni TISS si kweli

Angalau wanaofanana na TISS ni Inteljensia
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
On top of that. Kanisa Katoliki lipo tofauti na makanisa mengine kiuongozi. Ukiangalia KKKT utasikia Askofu Shoo ni askofu mkuu wa kanisa lao. Lakini kwa RC kila Askofu ana mandate kamili ndani ya Jimbo lake. Kwa kusema hivo Hakuna Askofu wa Kikatoliki anayepokea order kutoka kwa Askofu mwingine labda iwe order ya Papa.
Kumbe RC haina askofu mkuu?
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Hata wakisalimiana kwa sauti zao na facial expression huwa wanafahamika..polisi wanafundishwa.

Huwa wana vocal fulani ambayo ni unique..hata hao wenyewe huwa wanafahamiana kwa lugha na ishara zao
Si kweli
 

Forum statistics

Threads 1,295,455
Members 498,335
Posts 31,212,585
Top