Huyu Mlinzi wa Rais Magufuli kapatwa na majanga gani tena?


Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Messages
1,169
Points
2,000
Madimba jr

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2017
1,169 2,000
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais,siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko Magu but nimeshangaa jana kumuona akiwa kwa spika Ndugai...imekuaje tena? wataalam wa haya mambo mtujuze
2019-05-10_20-06-03-jpg.1093561
 
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Messages
321
Points
225
M

mbukoi

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2012
321 225
Kwa hiyo yoyote anaefaulu mtihani vizuri yeye anapelekwa cyber crime hata kama hajui computer, basi hiyo tiss itakua tasi.

Huwezi kufanya cyber kama huna ujuzi wa ict tena mzuri, lakini kama kila mtu anaefaulu mtihani anakua cyber crime expert basi kazi ipo.
Mkuu kwenye suala la tasi umenivunja mbavu
 
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2019
Messages
238
Points
500
Mackanackyyy

Mackanackyyy

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2019
238 500
Kusudio la maisha yako ni kuitumikia Nchi na si vinginevyo.
Hapa unakuwa umepoteza 85% ya uhuru wako binafsi. Ukipangiwa jukumu unaweza kuuwa au kuuwawa kama mambo hayatakwenda sawa.
Vp wale waliopangiwa "jukumu" kwa Tundu Lissu, wako hai au ndo hivyo wameachwa wafe wenyewe na ugonjwa wa meno na kuvimba vichwa?
 
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
2,998
Points
2,000
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
2,998 2,000
Vp wale waliopangiwa "jukumu" kwa Tundu Lissu, wako hai au ndo hivyo wameachwa wafe wenyewe na ugonjwa wa meno na kuvimba vichwa?
Sijui walijichukulia hatua gani kwenge genge lao....wale ni watendaji kazi kutoka genge fulani linalojificha kwenye kivuli cha taasisi.
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Naomba Unijuze?? Kauzu Black Linaishi wap??
Sifahamu sana ila nilifikiri akishaingia ikulu na baada ya masaa ya kazi kwisha ulinzi na usaidizi anapokewa na wengine maana sio rahisi kumlinda rais masaa ishirini na nne

Na kwa kuzingatia kwamba najua katika kikosi kile hayuko mmoja kwahiyo kuna anayekuwa naye katika shughuli za mchana na matukio muhimu na kuna wanaomsaidia labda usiku na weekend

Nahisi tu sina ufahamu sana
 
taa nyeupe

taa nyeupe

Member
Joined
May 5, 2019
Messages
14
Points
75
taa nyeupe

taa nyeupe

Member
Joined May 5, 2019
14 75
Hakuna mtu poa kama huyo braza,haipiti siku mbili tatu bila kuchekiana...he is a true braza...kimedani huyo mtu ni noma mzee tena noma sana ni highly trained and trusted agent...niseme inatosha tu kwa hayo machache mkuu.
trusted agent what do you mean?
 
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
1,511
Points
2,000
Mtu nisiyejulikana

Mtu nisiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
1,511 2,000
Ha ha ha umenikumbusha,stori za kina Veronica Amadu,Mwide,Sammy,Lulu nk.
ongeza na kitabu kinaitwa KULFURT"Gongo la chuma",Kufa na kupona,vyoye hivyo vya marehemu mzee Musiba.
Hivi huyo Musiba ana undugu na Cyprian?
 

Forum statistics

Threads 1,295,455
Members 498,335
Posts 31,212,605
Top