Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
 
Laana

Laana ya Shikalo inawatafuna. Muache mdomo. Mwambie Manara Mpira hauchezwa uwanjani na sio mdomoni.
 
Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
Golikipa ni mfupi sana kama chupa ya chai
 
Ukute wanaolaumu wamekaa wanachezea tecno zao. Hata danadana mbili hawawezi zipiga. kipa kasave nyingi sana tena zile ambazo unajua wazi ni goli. Mpira kufungwa ni kawaida hasa magoli kama yale. Kuliko kuropoka bora uendelee kumfulia nguo shemeji yako ili dadako ajione ameolewa na mtu wa maana.
 
Kwa kipa niko radhi kuweka kibanda changu cha makuti cha urithi, nawatetea pale hawajapigwa, yule ni golikipa mzuri tu..

Yanga wamesajili fresh, shida yao kubwa walitumia nguvu nyingi kuandaa festival kuliko kuandaa timu, hii itawagharimu game za mwanzo mwanzo, wakiunga watakuwa na timu shindani saana..

Similar Discussions

Back
Top Bottom