Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
Hahahahahahaah nilisikia anadaka mpaka mishale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom