GSM HuyoKipa tumepigwa..bola ya shikaro
Uko sahih kipa Yuko vzrKwa kipa, Uto hawajapigwa sana...
Goli la kwanza aliufuata mpira, Djuma ndjo alichomesha..
Goli la pili pale huwezi kumlaumu, lile shuti likipimwa kasi limezidi kasi ya mwanga...
Kuna kale kajamaa kanachokimbia kama amekatwa kichwa (Muloko)... Hana madhara kabisa... Pale Uto wamepigwa mchana kweupe....
ni kwelii kipa naye anahitaji kuzoeana na miamba ya goliUsijali mkuu bado hamjazoeana atakuwa sawa tu
Ukute wanaolaumu wamekaa wanachezea tecno zao. Hata danadana mbili hawawezi zipiga. kipa kasave nyingi sana tena zile ambazo unajua wazi ni goli. Mpira kufungwa ni kawaida hasa magoli kama yale. Kuliko kuropoka bora uendelee kumfulia nguo shemeji yako ili dadako ajione ameolewa na mtu wa maana.
Kipa Yuko saf kaokoa snaa tungepigwa nne. ApoUkiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
Tunaita mizungusho.. Sio rahisi kudakaGolikipa wa Yanga ameokoa one vs one 2 pia amecheza vizuri tu......goli la 2 shuti lilipigwa kwa kukatika kama umewahi kuwa golikipa utajua shida ya kudaka hiyo mipira inayokatika.
Si mlisema anadaka mpaka risasiUkiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
Rage apewe ulinziGSM Ni Simba damudamu yule.
Mashabiki wa Yanga Ni kama Arsenal vile 😁😁😁Tuache ujinga shuti lile nani ataweza kudaka? Lile la pili.
La kwanza kipa alitaka kuucheza djuma akaugusa hivyo kipa akaukosa..
Na huku yule jamaa aliyefunga alikuwa free hana mtu wa kumkaba na ulikuwa upande wa kibwana ule.
Hii ndiyo yanga tuliyoitaka. Tumecheza soka zuri kweli nimependa..
Mpira tu kashindwa kuudaka,Mashabiki wa uto wanakwambia Mpira ulikatika.😄😄😄.Sijui atadaka risasi zipi.Si mlisema anadaka mpaka risasi
Dauda aliwaambia kapigwa bao 50 kwa msimu
mngeshinda nyingi sana kumbe!.Kwanza zanaco hatukuwa kimchezo kabsa.