Kasi imepungua sana pale mbele,nimeiona Ila uniksoni and chama kivuli kinatutesa sana
sijui kwa nini kocha anamficha huyu mwanaKasi imepungua sana pale mbele,
Na pasi nzuri za mwisho.
Namwona Duncan Nyoni anaweza kupiga pasi za mwisho za uhakika.
Aaminiwe kwa kupewa muda wa kucheza.
Nacheka sana kwa Comments zenu leo.VARENE??
Henock Inonga Jina lake la Utani ni 'Varane' Mkuu na siyo hilo uliloliandika hapo juu ndiyo maana unaona hata Mimi Simba SC Mwenzako nimecheka mno.Aise huyu beki kwa ninavyoona apewe muda atakuja kuwa tishio Sana , anajua Sana , mnyama hapa wanabeki aise tuache wivu kwenye ukweli
Muda utaongea
Sio Verane we popomaHenock Inonga Jina lake la Utani ni 'Verane' Mkuu na siyo hilo uliloliandika hapo juu ndiyo maana unaona hata Mimi Simba SC Mwenzako nimecheka mno.
Miq alivyofika alikuwa anacheza dakika ngapi mkuu?Kocha apange wachezaji wenye kumpeleka pasi mbele Duncan ni mzuri lakini anaingizwa dakika ya 90 awape nafasi
Kumbe nami nimekosea? Kweli nami ni 'Popoma' Mkuu niliyemcheka nae sasa ni zamu yake Kunicheka pia.Sio Verane we popoma
Ni Varane
Hahaha...imebidi na mi nicheke mkuu!Kumbe nami nimekosea? Kweli nami ni 'Popoma' Mkuu niliyemcheka nae sasa ni zamu yake Kunicheka pia.
Punguza ujuajiKumbe nami nimekosea? Kweli nami ni 'Popoma' Mkuu niliyemcheka nae sasa ni zamu yake Kunicheka pia.
Tuna hazina ya mabeki wanne wa mwisho na wote wazuri.Mzee Onyango ajiangalie sana huyu Inonga ni watu wawili na nusu.