Huyu mke wangu tatizo

Nimeoa boss
ungekuwa umeoa asingekufanyia huo udimbwi hakika, umeolewa...!!..wote hamkuwa tayari....ndoa na iheshimiwe na watu wote....hata wasio na ndoa lazima waheshimu ndoa za watu......na siku wakimkuwadia utanielewa...pumafu wewe..
 
Hebu niuulize we ndo unalpa kodi?
Japo sidhan kama we ndo mlipa kodi a man can't be stupid to this level sio bure utakua huna kazi unamtegemea uyo mkeo 100% uza smartphone unayotumia katafute chumba Cha 10000 tafuta mkeka lala anza na upya maisha like a man
 
Ningefurahi kama ningekuwa na mke asiye na wivu kama huyo. Siku utakapomla rafiki yake mmoja ndipo atapata akili
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye

Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Kula tu hao mashemeji, kakusogezea mwenyewe, kizuri kula na nduguyo
 
Mkuu ,,,nakushauri usilalamike hilo jambo,
Hiyo ni bahati ,,
Tena wala usitongoze,,
Usiku mkilala mnyatie umle huyo rafiki wa mkeo..
Tena unamla kimya kimya na mkeo yupo humo humo.
Siku akikufuma ndy mwisho wa marafiki kuja humo..
Yaani umeletewa nyama unaanza kelele..
Piga kimya kimya...
Tena siku asipowaleta ,,muulize mkeo mbona siku hizi hawaji?
Nimewamiss sana..haswa yule Hadija ni mtoto mzr sana,,mwite aje tena..
 
Jamani nimeoa mwaka huu mwezi wa pili tunaishi vizuri na mke wangu bila shida yoyote.

Miezi mitatu baada ya ndoa mke wangu akaanza kuleta marafiki zake wa kike tuishi nao wakati anajua kabisa tumepanga chumba kimoja wakawa wanakuja baada ya wiki wanaondoka wanakuja wengine hivyo hivyo nikimuambia mbona unaleta marafiki zako na tupo na chumba tu anasema wao wanakuja na awezi kuwafukuza .

Sasa huyu rafiki yake wa sasa aliyekuja ndio shida kaja toka mwezi wa 9 na wala hana mpango wa kuondoka yupo tu na shida nyingine ni mvivu sana hapa nipo kwenye mawazo kwasababu mke wangu hata hajali kwasababu toka aje huyo rafiki yake sijawai kufanya tendo la ndoa na mke wangu kwasababu awezi kufanya na yeye yupo hapo naona mke wangu wala haoni shida yeye yupo tu

Vipi jamani nifanye nini nimuondoe huyu shemegi hapa na ugwadu mpaka natamani nichepuke au nimle huyu shemeji akikataa itakuwa ndio njia ya kuondoka mwenyewe kwasababu kuna muda wife anawahi kazini ananiacha naye

Naombeni ushauri nifanye nini imekuwa kero kubwa sana.
Anza naye huyo huyo aliyeletwa
Utakuja nikumbuka
 
Ila haya mambo ukihadithiwa unaweza dhania ni utani au story za kuchangamsha kikao. Ila yanatokea kweli.

Kuna mshikaji alioa kislay queen fulani cha kiswahili.

Yule binti bwana akaleta wadogo zake 4 katika nyumba yao wanayoishi, wakiume m'moja wa kike watatu. Na mama yake ambaye katika umri wake wa kama 48 hivi ana mtoto ana mwaka aisee wote akawaleta akawarundika katika kanyumba wamepanga ka chumba na sebule.

Just imagine unaishi vipi hapo..... Ila jamaa anasogeza maisha fresh tu bila shida. Anajionea sawa tu....
Duu hata kama kwetu ni mafukara lakini si kwa umasikini wa akili huu,
naye angeleta ndugu zake humo sijui inakuwaje kama club vile

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa ndugu yangu ningekuja hapo hapo kwako naanza na wewe nakupa vindoge vyote kisha mkeo akileta nyodo anakula kofi moja, namfuata huyo shemeji yako kama alizaliwa na binadamu au mbuzi , namfungasha siku hiyo hiyo, hana adabu kabisa huyo!
Madame unaonekana we ngumi mkononi
 
"... Kuna matatizo makubwa kwa afya za akili kwa Watanzania wengi..."

Hospitali ya Taifa Muhimbili
 
Automatically mkeo ana mtu nje na anawatumia marafiki kama kizingiti cha kuzuia usumbufu. Utakuja kushtuka siku akikosea akabeba mimba nje.

Na kikubwa zaidi katika wanawake wapumbavu, mkeo ni no 1 halafu anafuatia wema sepetu.
 
Huyo mke wako alitaka ndoa ili apate cheti cha ndoa apeleke kazini kwa maslah yake tu.Ushauri ni kuibomoa ndoa yako kwa kumtafuna au watafuna hao marafikize.labda kama unamtegemea yeye kwa vile ana kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom