Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,697
- 9,774
Mkuu, labda anikute kwake! Na haitokaa itokee!Siku ukidakwa ndipo utajua Na wewe Ni mtamu.
Lakini anikute lodge au kwangu aanze kuniletea ujinga! Ntamkata mtu mapanga mura!
Mkuu, labda anikute kwake! Na haitokaa itokee!Siku ukidakwa ndipo utajua Na wewe Ni mtamu.
Sawa kaka!Unapo vamia pori la akiba, jaribu kupunguza wivu...