Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

Hapana boss.ni mweusi tii..anaitwa zainabu..kipind fulan nilikuaga na mdogo ake fulani wa last born wao fulan hv...anaitwa ..tatu cjui yupo wapi cku hizi.
 
Huyo mdada ni mzuri,yeye angejiamini tu abaki na rangi yake.

Hata hivyo huwa najiuliza hivi hawa madada wanaojipaka vya kujipaka huwa inakuaje wakiugua nakukaa wodini kwa muda mrefu,nako huwa wanayapaka hayo madude au,najiuliza sana hasa mtu akiwa ICU sijui inakuaje..
 
lete picha acha mambo ya PROF KABUDI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom