Huyu mke wa mkubwa wa Mkubwa Fella ,hivi ni shombe shombe au mzungu???

mkulungu mkuyengo

JF-Expert Member
Feb 5, 2015
775
1,000
Mkorogo uliotoa ngozi layer ya kwanza. Yaani akichanika au akipata ajari hana ujanja
ajari= ajali
sijui kwanini wanakua hawajikubali kwa uhalisia wao? sasa mtu kama huyu sidhani kama m3/5 kwa wiki zinampiga chenga ila bado hajiamini,inasikitisha sana.
 

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,485
2,000
AMEPAKA MKOROGO NA ANAJIVUNIA.PIA NI MUUZA MKOROGO MAARUFU JIJINI DAR NA TANZANIA NZIMA..
WALE WADADA NA WAKINAMAMA..MASHANGINGI WOTE WANAKUJAGA KUNUNUA MKOROGO .ANAPIGA HELA FRESH.KWAKE.
ILA KUNA BAADHI YA WATEJA WALIKUWA WANAMLALAMIKIA MKOROGO WAKIUPAKA WANABABUKA NA KUTOKA MABAKA KAMA JESHI SIJUI..WENGINE WANAKUWA KAMA WAMEPAKA MAJIVU USONI...

ILA SIKUJUA KAMA NI MKE WA FELLA...
 

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
513
500
ili mradi mwenye mali kamkubli sie wapita njia hatuna sehem kulalamika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom