Huyu mgonjwa wa mguu makutano ya Ubungo anajimaliza mwenyewe

Hana kidonda wala jeraha. Anajifunga kipande cha nyama anakipaka manini sijui ndio kile kipande cha nyama kinaonekana kina usaha. Kama huamini siku moja jaribu kumchukua umpeleke hospitali uone matusi yake.
Huyu jamaa nimeshamuona mara nyingi...inaonekana ni kidonda halisi kabisa na kuna wakati aliwahi kufungwa bandeji...it seems alikuwa anapata matibabu somewhere....

Huo mguu wake wenye kidonda umevimba sana kuliko huo mwingine. Tatizo ni kuwa anatumia mguu huo kama chanzo cha fedha kwa kuomba kila siku. So sidhani kama anapata akili ya kutafuta matibabu.
 
Kaka umedanganyika na ukaamini. Huo mguu hauna kidonda sisi tushawahi kumkamata huyo jamaa na kumfungua hiyo bandeji alikuwa analia kama anachinjwa. Kumaliza kumfungua rapurapu la nyama likadondoka puuh. Akaishia kusema washkaji kausheni basi maisha magumu. Na aliyetushtua kuwa anajifunga nyama ni dada mmoja mfanyakazi wa clouds. Hatukuamini kama wewe usivyoamini.
 
Achana naye huyo. Hana kidonda wala usaha. Huwa kuna materials fulani wanazungushia mguuni au mkononi na mguu au huo mkono huonekana kama una kidonda kikubwa au usaha mwingi.
Hu ungekua usaha hata yeye asingepata nguvu ya kwenda kuzurula barabarani. Usaha usikie hivihivi tu.
Yawezekana kweli, usaha unavuta hasa unasaga mifupa maumivu yake hata kula hutaki aisee itakua kuomba hela barabarani.
 
Kaka umedanganyika na ukaamini. Huo mguu hauna kidonda sisi tushawahi kumkamata huyo jamaa na kumfungua hiyo bandeji alikuwa analia kama anachinjwa. Kumaliza kumfungua rapurapu la nyama likadondoka puuh. Akaishia kusema washkaji kausheni basi maisha magumu. Na aliyetushtua kuwa anajifunga nyama ni dada mmoja mfanyakazi wa clouds. Hatukuamini kama wewe usivyoamini.
Mjini watu wanasomeshwa shule kinguvu na kwa vitendo. Yaani watu wanaamini kabisa kiwa jamaa ana kidonda
 
Watu wengine hata wasaidiwe vp...! Ni kama Matonya, alipoondolewa Dar, akaenda kuomba Morogoro..

Huyu naye ukimtoa hapa, ataenda kuomba kule kule wodini Muhimbili..
 
Kaka umedanganyika na ukaamini. Huo mguu hauna kidonda sisi tushawahi kumkamata huyo jamaa na kumfungua hiyo bandeji alikuwa analia kama anachinjwa. Kumaliza kumfungua rapurapu la nyama likadondoka puuh. Akaishia kusema washkaji kausheni basi maisha magumu. Na aliyetushtua kuwa anajifunga nyama ni dada mmoja mfanyakazi wa clouds. Hatukuamini kama wewe usivyoamini.
Kwa hiyo boss na huo mguu kuvimba pia ni sababu ya nini
 
Huwa najiuliza kidonda chote hicho upate nguvu za kutembea kweli kumbe vipande vya nyama aisee people are so creative.
 
Uyo n kibaka kama vibaka wengine
Kwa kawaida mguu katika hali iyo ata mulla Omar mulla asingeweza kuzurura
 
Swal la kujiuliza hiko kikamptula kilipita vipi kwenye uo mguu?
Unataka ela alafu unadanganya watu juu juu, pumbavu sana ao
 
Hicho kitu cheupe kwenye mguu sio kwamba kitu kimefungwa bali ni usaa uliotanda kuzunguka eneo hilo

Kila nimipita Ubungo kurejea nyumbani muda ya jioni mara nyingi namuona kijana huyu akiwa na kidonda kikubwa sana kwenye mguu wake wa kushoto

Muda wote anazunguka kutoka gari moja kwenda jingi akipata fedha kidogo anazozitumia kwaajili ya chakula

Kwasasa mguu wake umefikia hatua nzito zaidi kuliko hapo mwanzo ambapo alikuwa na nafuu sana

View attachment 958722

Najiuliza kwanini asichukue uamuzi wa kwenda Hospitali?

Niliwahi kumshauri hivyo lakini nikabaini anatumia kidonda chake kujiingizia kipato

Kifupi hajali uhai na afya yake, nilimwambia hata akienda Muhimbili hakuna wa kumfukuza hata kama hana fedha

Licha ya kuendelea kuharibu mguu wake lakini anawaumiza sana mioyo wapita njia
 
Kaka umedanganyika na ukaamini. Huo mguu hauna kidonda sisi tushawahi kumkamata huyo jamaa na kumfungua hiyo bandeji alikuwa analia kama anachinjwa. Kumaliza kumfungua rapurapu la nyama likadondoka puuh. Akaishia kusema washkaji kausheni basi maisha magumu. Na aliyetushtua kuwa anajifunga nyama ni dada mmoja mfanyakazi wa clouds. Hatukuamini kama wewe usivyoamini.
Swali: Huo mguu umevimba kwa sababu gani?
 
Hicho kitu cheupe kwenye mguu sio kwamba kitu kimefungwa bali ni usaa uliotanda kuzunguka eneo hilo

Kila nimipita Ubungo kurejea nyumbani muda ya jioni mara nyingi namuona kijana huyu akiwa na kidonda kikubwa sana kwenye mguu wake wa kushoto

Muda wote anazunguka kutoka gari moja kwenda jingi akipata fedha kidogo anazozitumia kwaajili ya chakula

Kwasasa mguu wake umefikia hatua nzito zaidi kuliko hapo mwanzo ambapo alikuwa na nafuu sana

View attachment 958722

Najiuliza kwanini asichukue uamuzi wa kwenda Hospitali?

Niliwahi kumshauri hivyo lakini nikabaini anatumia kidonda chake kujiingizia kipato

Kifupi hajali uhai na afya yake, nilimwambia hata akienda Muhimbili hakuna wa kumfukuza hata kama hana fedha

Licha ya kuendelea kuharibu mguu wake lakini anawaumiza sana mioyo wapita njia
Una uhakika ni kidonda? Kuna mwingine alikuwa na ''donda'' kubwa la kuogovya sehemu za tumbo. Akifunua kuomba msaada utataka kumpa kwa haraka ili aondoe kero. Ikaja kugundulika ni kipande cha ngozi ya ng'ombe mbichi huwa anajibandika kwa kuigeuza!
 
Jamaa anakula unga vibaya huyo. Akishamaliza kuziokota hizo mia mia usiku tandale Don yeye. Anajichoma tuu.
Una uhakika ni kidonda? Kuna mwingine alikuwa na ''donda'' kubwa la kuogovya sehemu za tumbo. Akifunua kuomba msaada utataka kumpa kwa haraka ili aondoe kero. Ikaja kugundulika ni kipande cha ngozi ya ng'ombe mbichi huwa anajibandika kwa kuigeuza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom