Huyu mgonjwa wa mguu makutano ya Ubungo anajimaliza mwenyewe

Usipende Ligi za Kijinga.., nenda kesho Ubungo halafu ulete Mrejesho hapa!
Uandishi wako tu unaonesha wewe kweli ni Mjinga.., unakumbuka ulichojibu Mwanzo? Najuwa Watu kama wewe huwa mnapenda Ligi za Kijinga ndo mana nilikwambia toka awali kwakuwa nafahamu fika huko ndo uliko!
Mimi sipo huko na sina Muda wa Malumbano na MTU kama wewe hivyo endelea na Ligi yako!

Sawa we mjanja uandishi wako wakutumia akili kubwa Sana!
Sio wa kawaida ni wa Phd holder!
 
Kaka umedanganyika na ukaamini. Huo mguu hauna kidonda sisi tushawahi kumkamata huyo jamaa na kumfungua hiyo bandeji alikuwa analia kama anachinjwa. Kumaliza kumfungua rapurapu la nyama likadondoka puuh. Akaishia kusema washkaji kausheni basi maisha magumu. Na aliyetushtua kuwa anajifunga nyama ni dada mmoja mfanyakazi wa clouds. Hatukuamini kama wewe usivyoamini.
Hilo lapulapu bora mngempikia dog
 
Achana naye huyo. Hana kidonda wala usaha. Huwa kuna materials fulani wanazungushia mguuni au mkononi na mguu au huo mkono huonekana kama una kidonda kikubwa au usaha mwingi.
Hu ungekua usaha hata yeye asingepata nguvu ya kwenda kuzurula barabarani. Usaha usikie hivihivi tu.
ofkoz usaha noma na hivyo alivyosimama wima mguu ungekua unapwita pwita kudadeki full maumivu,ushawahi kuumwa kidole halaf umekiacha kinaning'inia bila kukifunga na kmba ya shingoni kwa hapa kifuani,yale maumivu yake si kitoto.
 
Watanzania tukoje?

Jama ile tu kuleta hii post jf ni kamsaidia vya kutosha..Mimi mwezi wa tisa nilimpa huyo jamaa Tshs.5000 baada ya kuuona kwa mbali mguu wake huo nikamsogelea nakumpa..


Hivyo kama una uwezo wa kumsaidia msidie ila usihoji jamaa kuleta hii post jf.
kwa kifupi tunasema umepigwa,licha ya kuwa uliitoa kwa moyo wa huruma but ndo hivyo tena
 
Hicho kitu cheupe kwenye mguu sio kwamba kitu kimefungwa bali ni usaa uliotanda kuzunguka eneo hilo

Kila nimipita Ubungo kurejea nyumbani muda ya jioni mara nyingi namuona kijana huyu akiwa na kidonda kikubwa sana kwenye mguu wake wa kushoto

Muda wote anazunguka kutoka gari moja kwenda jingi akipata fedha kidogo anazozitumia kwaajili ya chakula

Kwasasa mguu wake umefikia hatua nzito zaidi kuliko hapo mwanzo ambapo alikuwa na nafuu sana

View attachment 958722

Najiuliza kwanini asichukue uamuzi wa kwenda Hospitali?

Niliwahi kumshauri hivyo lakini nikabaini anatumia kidonda chake kujiingizia kipato

Kifupi hajali uhai na afya yake, nilimwambia hata akienda Muhimbili hakuna wa kumfukuza hata kama hana fedha

Licha ya kuendelea kuharibu mguu wake lakini anawaumiza sana mioyo wapita njia
Mkuu unasema ni mguu wa kushoto?! mbona mimi naona ni mguu wa kulia ndio wenye matatizo?
 
Katika idara nchi hii wanayokula mishahara ya bure basi ni ustawi wa jamii ukipita kwenye mdaraja ya mwendo kasi kuna walemavu wanavidonda vya hatari ukipita posta huko unawaona wapo eneo lile lile kila siku halafu kuna wale wasiojiweza wanaletwa na ndugu wanakusanyishwa hela jion wanachukuliwa na una muona hizo hela hata hazimsaidii ana nguo chafu zile zile wengine hata haogeshwi.....ustawi wa jamii wako wapi kwanini wasiwachukue hawa watu wakawatibu na hao wanawatumia ndugu zao wachukuliwe hatua....ustawi wa jamii walichobakisha kutafatilia nani kazaa na nani au nani hatoi matumizi kwa mtoto.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom