Huyu Meya wa arusha haoni kuwa hapendwi na wananchi, kwanini asijiuzulu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Meya wa arusha haoni kuwa hapendwi na wananchi, kwanini asijiuzulu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by silver25, Jan 6, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nashangaa sana jamaa kachakachua, vitu ambavyo havichakachuliki, wananchi wenyewe wamesema hawamtaki, sasa yeye atashirikiana nanani? mbona anakuwa kama chizi, wewe kama unataka kuwatumikia wananchi utawatumikia watu wanaokukubali na si vingine

  Nenda kajiuzuru kwa Wachakachuaji wenzako huko Arusha hawakutaki wewe Mea sijui jina lako nani, Hata mkeo hakushauri?
   
Loading...