FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 7,627
- 9,321
Akakufanya vibaya uyoKuna member mmoja kipindi hicho nikiwa naperuzi JF kama Guest Alikuwa Ananichekesha Sana kwa replies zake ila tangu niingie Humu sijawai kumsikia wala kuona Tena nyuzi zake .
Anaitwa Nokia83 Sijui aliendaga Wapi yule mdau
Sent using Jamii Forums mobile app