Huyu Member , Mi pesa zangu alizitapika na toka hapo alijenga Heshima kubwa

Dom tena!? Hebu wanawake wa Dodoma tukutane Rainbow kwa kikao kifupi hii ni hujuma tunafanyiwa, tutakuwa hatutumiwi nauli tena ohhhh!
 
Hawa wadada wanazingua
Ndiyo maana wanaleweshwa na kupigwa mitungo na kuliwa viboga
 
Miaka ile mi bado mhuni nlikutana na member mmoja maarufu sana humu JF mcheshi mtu wa stories hasa jukwaa la MMU na Mambo ya Kikubwa.

Basi tukaanza fahamiana pembeni tukipiga stories kadhaa za kupandishana mashetani.ikafikia hatua akatuma picha zake...akatuma pia picha ya mashine yake.ni kutokana na ukaribu tuliojenga.

Akaniomba 20,000 siku moja nikamtumia.akaja akaomba tena 30,000 nikamtumia.

Akawa likizo akanambia ana ndugu hapa Dar mitaa flani pembeni ya mji.anataka aje nimtumie nauli nikatuma those days 30,000 ilimtosha sana. Na mimi niwe mkweli.nlijua tu akija itabidi nimle pia.maana cha "Mgema huwa na Mlevi na Cha Mlevi huliwa na Mgema"

HAKUJA.sikulalamika.sikumtafuta.baada ya mwezi nikawa nina safari ya Dom.nikaanza tena mwandaa.nikamwambia am sorry that time nlimtumia pesa then nikapata tatizo simu ikapotea na nikasafiri ghafla kwenda nje.so anisamehe maana alikuja dar hatukuwasiliana.

Naye akaniungia humo humo.eti alinitafuta sana akanikosa.nikasema tu moyoni. Hamna shida utajaa tu kwenye 18.

Tukaendelea kuchat akaomba tena pesa.nikamwambia asijali mi nakuja Dom keshokutwa ata enjoy maana ye ndo mwenyeji.

Nlienda Dom tukaonana sehemu moja kuna kuku choma nzuri sana.tukala nikampa na nauli arudi kwao.ijumaa asubuhi nikamwambia ninaenda Dar mara moja narudi Jumapili mchana.

Kama hayupo tight twende wote.akakubali kirahisi sana. Mi jambo lililonipeleka Dom lilikuwa limesha.kweli tuliondoka naye mchana Ijumaa saa tatu tukawa Dar.

Ofcourse tulifikia lodge.lodge moja ipo sinza. Yule dada nlimvalia Condom sikutaka kupiga kavu.na bahati mbaya mimi nikivaa condom sisikii kabisa.basi ile show ilikuwa tough kinyama.mpaka alihisi papuch yake inawaka moto.na alivyo mweupe.

Kesho yake akawa hoi anasema kule ndani kuna shida maana hata akikojoa tu anaumia.mchana nikamwambia nafika home mara moja.nlifika home nikazima ile namba mpaka baada ya siku 5.

Alilipia Lodge 35,000 kwa siku 2 nlizomwacha na sijui kama aliongeza.akajilipia chakula na nauli ya kurudi Dom.

Nlikuja kuta meseji zake za matusi aina yote aliyoyafahamu duniani.alitukana sana.sana siyo kidogo.akatukana mpaka kilugha.alinichukia akawa akiona threads zangu humu JF ananishukia kama mwewe.

Alinichukia sana yule dada.lakini nlimwambia ukila lazima nawe utaliwa siku moja.asiecheze na wahuni...wahuni huwa hatusahau hata miaka kadhaa.kisasi ni halali kwa sisi wengine. Malipo hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu.

Sasa leo nmemsoma jamaa kalizwa na mdada wa huko Dom.sikutaka kuandika but nimeona nijaribu kumfundisha maisha ya kihuni.aache ufala.hamna undugu na mtoto wa kike ambaye hamkuzaliwa tumbo moja.

Wabillah tawfiq.
yap hii ndio dawa yao
 
Huyo mdada katuangusha wenzie kwa kweli yaani unaenda logde huangalii hata kama imelipiwa au lah na chakula wala tu bila wasiwasi, mi nipo makini na hivyo hasa kama sijamjua vizuri mwanaume nahakikisha kalipia vyote na nauli yangu atoe kabla
ha ha utakuwa mkali wa hizi kazi wewe mwanamke
 
Webgine ni wanaume wanajifanyisha mademu humu ndani ili wapige pesa
Amini amini nawaambia ipo siku wahuni watawatoa bikira ya duburi
 
Ni ngumu kuhisi hivyo kwa mtu ambaye ametoka nawe dom kwa usafiri wake,amekugharamia kila kitu na haoneshi kama ana shida ya pesa.usisahau alisha nila pesa so akawa anajua mimi bwege.then tumelala wote a night na nakwambia naenda badili nguo na kuchukua som docu narudi.huwezi kuwa na mashaka.na mwonekano

Huyo mdada katuangusha wenzie kwa kweli yaani unaenda logde huangalii hata kama imelipiwa au lah na chakula wala tu bila wasiwasi, mi nipo makini na hivyo hasa kama sijamjua vizuri mwanaume nahakikisha kalipia vyote na nauli yangu atoe kabla
 
Miaka ile mi bado mhuni nlikutana na member mmoja maarufu sana humu JF mcheshi mtu wa stories hasa jukwaa la MMU na Mambo ya Kikubwa.

Basi tukaanza fahamiana pembeni tukipiga stories kadhaa za kupandishana mashetani.ikafikia hatua akatuma picha zake...akatuma pia picha ya mashine yake.ni kutokana na ukaribu tuliojenga.

Akaniomba 20,000 siku moja nikamtumia.akaja akaomba tena 30,000 nikamtumia.

Akawa likizo akanambia ana ndugu hapa Dar mitaa flani pembeni ya mji.anataka aje nimtumie nauli nikatuma those days 30,000 ilimtosha sana. Na mimi niwe mkweli.nlijua tu akija itabidi nimle pia.maana cha "Mgema huwa na Mlevi na Cha Mlevi huliwa na Mgema"

HAKUJA.sikulalamika.sikumtafuta.baada ya mwezi nikawa nina safari ya Dom.nikaanza tena mwandaa.nikamwambia am sorry that time nlimtumia pesa then nikapata tatizo simu ikapotea na nikasafiri ghafla kwenda nje.so anisamehe maana alikuja dar hatukuwasiliana.

Naye akaniungia humo humo.eti alinitafuta sana akanikosa.nikasema tu moyoni. Hamna shida utajaa tu kwenye 18.

Tukaendelea kuchat akaomba tena pesa.nikamwambia asijali mi nakuja Dom keshokutwa ata enjoy maana ye ndo mwenyeji.

Nlienda Dom tukaonana sehemu moja kuna kuku choma nzuri sana.tukala nikampa na nauli arudi kwao.ijumaa asubuhi nikamwambia ninaenda Dar mara moja narudi Jumapili mchana.

Kama hayupo tight twende wote.akakubali kirahisi sana. Mi jambo lililonipeleka Dom lilikuwa limesha.kweli tuliondoka naye mchana Ijumaa saa tatu tukawa Dar.

Ofcourse tulifikia lodge.lodge moja ipo sinza. Yule dada nlimvalia Condom sikutaka kupiga kavu.na bahati mbaya mimi nikivaa condom sisikii kabisa.basi ile show ilikuwa tough kinyama.mpaka alihisi papuch yake inawaka moto.na alivyo mweupe.

Kesho yake akawa hoi anasema kule ndani kuna shida maana hata akikojoa tu anaumia.mchana nikamwambia nafika home mara moja.nlifika home nikazima ile namba mpaka baada ya siku 5.

Alilipia Lodge 35,000 kwa siku 2 nlizomwacha na sijui kama aliongeza.akajilipia chakula na nauli ya kurudi Dom.

Nlikuja kuta meseji zake za matusi aina yote aliyoyafahamu duniani.alitukana sana.sana siyo kidogo.akatukana mpaka kilugha.alinichukia akawa akiona threads zangu humu JF ananishukia kama mwewe.

Alinichukia sana yule dada.lakini nlimwambia ukila lazima nawe utaliwa siku moja.asiecheze na wahuni...wahuni huwa hatusahau hata miaka kadhaa.kisasi ni halali kwa sisi wengine. Malipo hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu.

Sasa leo nmemsoma jamaa kalizwa na mdada wa huko Dom.sikutaka kuandika but nimeona nijaribu kumfundisha maisha ya kihuni.aache ufala.hamna undugu na mtoto wa kike ambaye hamkuzaliwa tumbo moja.

Wabillah tawfiq.
mkuu kwanza hiyo 35,000 ulimwachia ya nini sasa?aaaaah
 
Back
Top Bottom