Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

Hivyo ndivyo walivyo wanawake wa uswahilini, anaweza kuwa na nafasi ya kuvuta hela ndefu au kubadilisha maisha yake kwa mwanaume lakini akishia kuenyesha udhaifu kwa elfu 20 au 30. Jinga sana hawa manzi
 
Ww ni mjinga nisikilize kwa makin hapa kwanza ujue labisa wanawake wana akili na si wajinga japo ni dhaifu mwanamke kabla hajaanza urafiki na ww lazima akusome km una pesa au huna au ni mtu wa kawaida na ke akili unazo au o za kawaida au mvuta bangi na hz condition zinavutana sn mfano akigundua pesa unazo ila akil huna utapigwa miziga tu

Japo hatokuacha kirahisi na tunda unaweza ukawa unapewa cku moja moja sasa kwa mujibu wa maelezo yako apo juu demu amegundua ww ni mtu mwenye hulka za kijinga na muhuni afu pesa huna ila unajitia unazo na akajua akija kwako ungemkomoa kitandan au ungempa matatizo ndio maana kakuzimia data

NOTE : km unajua una hali ngumu usimpe pesa mwanamke kwan ukifanya ivyo atakuona ni mjjnga labda km mmesgaonjeshana ata ukimuhonga 5000 its ok
 
Huyo ni mlafi wa pesa na wa hivo huwaga hawajifunzi hadi wapatikane kwa watu wanaojua kuchezea sayansi fulani fulani. Huku kwetu pwani sentensi ya mtu wa hivyo ni moja, "Wacha nitamfunza."
 
Tumefahamiana muda kidogo akinambia anapatikana Dom n.k last week alinambia anataka kuja Dar kusalimia ila hana nauli.akasema angependa apate nafasi tuweze kusema kidogo.

Mimi muda mrefu huwa nawasiliana naye kwa simu.tumezoeana kama we know each other. Alhamis ndo akanambia anatamani aje Dar... Sikuona shida nikamtumia tsh 40,000 nauli ya Dom to Dar.

Akikaribia ubungo anijulishe naweza enda mchukua au nitamwambia achukue Taxi impeleke atakapofikia.nlimwambia kama atapenda nimhudumie malazi hizo siku mbili tatu its ok.

Nlimtumia hiyo pesa kwa namba aliyonielekeza. Alipokea na toka siku hiyo hakupokea simu yangu tena.

Najua atanihesab kuwa mmoja ya wanaume mabwege.haina shida.40,000. Its nothing to me. Ambalo nasikitika ni kuwa amepoteza rafiki.siku zote hizo sikuwahi mwambia abt sex.nlikuwa nam treat kama rafiki.

Sijali kwa yeye kunyamaza kwa kupata tsh 40,000. Nasikitika kuwa amepoteza urafiki na pengine msaada mkubwa hapo mbeleni. Sikumpa ili aje awe sex partner wangu.nlimpa aje atembelee marafiki sisi dar.
Mkuu tulia tu, mwanamke aliongea mengi na shetani kule bustani ya Eden,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ogopa mademu wa mitandaoni. hapo kazini,home,kitaani kuna mabinti wangapi mpaka ushobokee demu wa mitandaoni.
 
Back
Top Bottom