Huyu Member anadhani amenila hiyo Pesa. Haja calculate jambo moja muhimu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,447
Tumefahamiana muda kidogo akinambia anapatikana Dom n.k last week alinambia anataka kuja Dar kusalimia ila hana nauli.akasema angependa apate nafasi tuweze kusema kidogo.

Mimi muda mrefu huwa nawasiliana naye kwa simu.tumezoeana kama we know each other. Alhamis ndo akanambia anatamani aje Dar... Sikuona shida nikamtumia tsh 40,000 nauli ya Dom to Dar.

Akikaribia ubungo anijulishe naweza enda mchukua au nitamwambia achukue Taxi impeleke atakapofikia.nlimwambia kama atapenda nimhudumie malazi hizo siku mbili tatu its ok.

Nlimtumia hiyo pesa kwa namba aliyonielekeza. Alipokea na toka siku hiyo hakupokea simu yangu tena.

Najua atanihesab kuwa mmoja ya wanaume mabwege.haina shida.40,000. Its nothing to me. Ambalo nasikitika ni kuwa amepoteza rafiki.siku zote hizo sikuwahi mwambia abt sex.nlikuwa nam treat kama rafiki.

Sijali kwa yeye kunyamaza kwa kupata tsh 40,000. Nasikitika kuwa amepoteza urafiki na pengine msaada mkubwa hapo mbeleni. Sikumpa ili aje awe sex partner wangu.nlimpa aje atembelee marafiki sisi dar.
 
boya boya stay back unatapeliwa na mgogo bila shaka yule dem cha wote jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana
Hayo ni mambo ya kawaida
 
40,000 hata hela ya dinner haijafika inamtoa imani mtu?

Siku nyingine usitoe hela kwa watu usiowajua vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom