Asubirie majibu kutoka kwako?ngoja kwanza
ukisha mfahamu ntumie no zake bossPicha zake zipo kwenye mitandao mingi sana hadi blog na website za Ulaya picha zake zipo, nataka kujua huyu ni nani hasa
Nini kimekufanya useme ni mTz?Picha zake zipo kwenye mitandao mingi sana hadi blog na website za Ulaya picha zake zipo, nataka kujua huyu ni nani hasa
Nini kimekufanya useme ni mTz?
Mange kafungiwaNamsubiri dadaangu mange kimambi atakuja na jibu sahihi
Mtoto wa Run former Rapper wa RunDMC ndygu yake Russel Simmons mmiliki wa Phat Farm clothing line.yupo nimemuona kwenye blog nyingi sana za nje...
JESTINA GEORGE: CHECK OUT ANGELA SIMMONS HAWTT BEACH BODY...!!!
Mange kafungiwa