Huyu mchumba wangu simuelewi

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!

Wewe unayekaa naye,unayemfahamu,ambaye ulishawahi kumuona ...unashindwa kumfaham cc ndo tumuelewe, kweli?
Simamia moyo unavyokusihi ufanye ,

Jitahidi kukaa na kumuangalia kwa ukaribu utafahamu 2 anamatatizo gani! Labda nam2 mwingne ndio anamchanganya asiamue kufunga ndoa na ww!

Haya mambo ya kujinunishanunisha hayatakiwi kwenye mapenzi. Sijui jinsia yako ila kama ni mwanaume ndo kabisa haitakiwi, mtafute umweke kitako ajue unamaanisha kweli unapoongelea suala la ndoa, labda unamwambiaga ukiwa hauko serious

Wewe ni jinsia gani? Gentleman or Lady? Bila shaka ni Gentleman.
Hebu jiangalie wewe mwenyewe nyanja zote kiuchumi, kidini, kikazi n.k, halafu na yeye pia, isije ikawa hakupendi kwa dhati ila labda kwa sababu anaona una hela sana au kuna vitu vingine anavipenda zaidi toka ndio maana pengine huamua kukubembeleza.

Ningekuwa na maswali mengi zaidi kama ningefahamu status yako na ya huyo mchumba wako.

Hivi maisha haya kweli bado mtu unaweza kupoteza muda na akili yako kwa ajili ya mapenzi!hata hivyo fuata moyo wako unakueleza kitu gani maana hapo tu kesheanza chenga kabla hata ya ndoa je akikubali umwoe itakuwaje!

Nmeshindwa kujua kipi nisimamie ndio maana nmemwaga hisia zangu kuhusu yeye hume kwa GT!
Nisaidie mawazo ndugu yangu!

Hivi maisha haya kweli bado mtu unaweza kupoteza muda na akili yako kwa ajili ya mapenzi!hata hivyo fuata moyo wako unakueleza kitu gani maana hapo tu kesheanza chenga kabla hata ya ndoa je akikubali umwoe itakuwaje!
Kuna muda naamua kumweka mbali kama kuwasiliana nae na misaada.
Pia hua nawaza nae anatumia nafasi hiyo kunijaribu(vision) ntaweza kumvumilia!
Nakosa amani ya moyo wangu kabisa!.

Wewe ni jinsia gani? Gentleman or Lady? Bila shaka ni Gentleman.

Hebu jiangalie wewe mwenyewe nyanja zote kiuchumi, kidini, kikazi n.k, halafu na yeye pia, isije ikawa hakupendi kwa dhati ila labda kwa sababu anaona una hela sana au kuna vitu vingine anavipenda zaidi toka ndio maana pengine huamua kukubembeleza.

Ningekuwa na maswali mengi zaidi kama ningefahamu status yako na ya huyo mchumba wako.

Nipo nipo mjini namudu mahitaji yangu muhimu. Nae anatarajia kutafuta kazi. Japo sio zaidi. Pia kimitazamo nafikiri sote tunahitajiana. Linalonikosesha raha hilo la kutonipa go ahead kufunga ndoa sasa! Ati anambia yeye hana wazo la kuolewa sasa!
A- hadi apate kazi?
B- tupo wachumba zaidi ya mmoja?
C- ana nijaribu?

My take!
Nami naanza kumchoka maana yale mapenzi niliokua nayo kwake yanazidi kupungua kila siku!
Ndio maana naona isije kua shaytwan amenipanda naanza kumchukia!

Haya mambo ya kujinunishanunisha hayatakiwi kwenye mapenzi. Sijui jinsia yako ila kama ni mwanaume ndo kabisa haitakiwi, mtafute umweke kitako ajue unamaanisha kweli unapoongelea suala la ndoa, labda unamwambiaga ukiwa hauko serious
Sniper unanchekesha statements zako!
Kumbe kuna vitu hufanywa viko sawa kuendana na jinsia ya mtu!
Nimejifunza kitu kutoka kwako.
Sio kwamba siko serious! Anajua tena hunivizia usiku ananipigia simu huku ananiimbia na kunibembeleza! Wakt huo nakua nimechoka hata simuelewi elewi ...kwanini antafuta muda wa kulala? Ana nini anawaza juu yangu katka muda huo wa usiku?
Anaisumbua akili yangu! Naogopa kuamua labda ndio style yake/yao kwenye kusumbua vichwa vya wanaume/wachumba zao?

Jitahidi kukaa na kumuangalia kwa ukaribu utafahamu 2 anamatatizo gani! Labda nam2 mwingne ndio anamchanganya asiamue kufunga ndoa na ww!
Ngoja nianzie na haya!
Maana nae kuna muda aniita ili tukae kwa pamoja nami namkwepa.
Maana tunakua kila mmoja wetu anamtega mwenzie!

Habari JF!

nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.

Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.

Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.

Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.

Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!

Nipo njia panda ...

Nawakilisha!

umezoea majini ndio maana binadamu huwawezi

Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!

Hapo kuna mawili:
1.Kuna mtu anampenda zaidi yako ww na lakini anajua kuwa hana uwezo wa kumsaidia

2.Hana uhakika wa kuoana na ww.

Saolution:
MKALISHE MWAMBIE MSIMAMO WAKO NA MSIKILIZE usifanye kumwonea huruma utalia ,fanya maamuzi magumu.

huyo anakutega tu coz anajua unampenda, kaa nae mwongee lazma utajua msimamo wake

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom