Huyu Mbunge yupo sawa au ana shida gani kwa Wananchi wake?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Sijawahi kusikia popote pale Mbunge anawahimiza Wananchi wake kutembea na picha ya mbunge wao.

Huyu mbunge sijui anatumia akili gani kufanya anayoyafanya dhidi ya wapiga kura wake.

Ingekuwa kipindi cha Jiwe huyu angejikuta pabaya maana angehisiwa kutaka kufanya mageuzi.

Naomba tulijadili hili kama Watanzania.

Badala ya kufikiria jinsi ya kusaidia watu wa jimboni ngara yeye ana andaa picha na kuzisambaza tupo Karne 21
Alaf mtu analeta usengelema kama huo for sure tuna safari ndefu kama taifa....

Hizo nafasi za UBUNGE badala kuwatumikia wananchi na kua saut zao wenyewe wanaifanya kama ajira BINAFSI.....
 
Sijawahi kusikia popote pale mbunge anawahimiza wananchi wake kutembea na picha ya mbunge wao.

Huyu mbunge sijui anatumia akili gani kufanya anayo yafanya dhidi ya wapiga kura wake.

Ingekuwa kipindi cha Jiwe huyu angejikuta pabaya maana angehisiwa kutaka kufanya mageuzi.

Naomba tulijadili hili kama watanzania. View attachment 2648905
Halafu eti huyu ni miongoni mwa Tatha Tethe Tiiiithii, wetu.
 
Sijawahi kusikia popote pale mbunge anawahimiza wananchi wake kutembea na picha ya mbunge wao.

Huyu mbunge sijui anatumia akili gani kufanya anayo yafanya dhidi ya wapiga kura wake.

Ingekuwa kipindi cha Jiwe huyu angejikuta pabaya maana angehisiwa kutaka kufanya mageuzi.

Naomba tulijadili hili kama watanzania. View attachment 2648905
Mpuuzi huyu
 
Badala ya kufikiria jinsi ya kusaidia watu wa jimboni ngara yeye ana andaa picha na kuzisambaza tupo Karne 21
Alaf mtu analeta usengelema kama huo for sure tuna safari ndefu kama taifa....

Hizo nafasi za UBUNGE badala kuwatumikia wananchi na kua saut zao wenyewe wanaifanya kama ajira BINAFSI.....
Alafu utasikia anawaambia vijana kujiajili na kuwashauri wajishughulishe na kilimo
 
Sijawahi kusikia popote pale mbunge anawahimiza wananchi wake kutembea na picha ya mbunge wao.

Huyu mbunge sijui anatumia akili gani kufanya anayo yafanya dhidi ya wapiga kura wake.

Ingekuwa kipindi cha Jiwe huyu angejikuta pabaya maana angehisiwa kutaka kufanya mageuzi.

Naomba tulijadili hili kama watanzania. View attachment 2648905
Wajinga ndiyo waliwao.

Mbona ana sauti kama ya pombe, mjomba'ke nini?
 
Back
Top Bottom