Huyu maza ni vipi?

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
hey guys.. another mama shifted to the plot i lives kindu 3months ago. we normally says hi to each other but with few stories. last wked she found me washing clothes and she asked ..."hey kwani huna bibi?" i replied "i like doing my washing" she said "next time niambie nitakusaidia" i said ok and she left.

On sunday a knocked on my door,on openning there she was.ati we go to church together. since when did we start doing things together. I said i was having other plans for the day so i wont manage. Today morning as i was coming from my morning work-out i met her at the gate and she was like " you have a nice chest" "please kesho let me know so that we can do the work-out together"

I fail to understand what does she want. she is married mind you. How do i put her off? Ama dawa ni kumnyandua

anyone who has this expirience.
 
AMESHAKUMMAINDO HUYO!
unajua ninyi wabeba-boksi mmejazia jazia vifua sana.....!
 
Mawazo yako ni mabaya tu unayapeleka kusiko stahili mwenzio kajisemea tuu kwani ku chat na jirani ni jambo la kawaida tu katika maskani ya kiafrika.Wewe uwe na mtizamo chanya zaidi bila kufikiria kila akutakiye hali analo jambo na wewe!!!!
 
Mwambie apange na muwewe mu-hang out watatu pamoja. Hapo ndo utajua intentions zake kwako.
 
Unataka kutuambia wewe haujui kusema 'NO'??????????????? mbona kuna kampeni nyingi zinazohamasisha vijana kusema NO??????????? wewe haujawahi kuzisikia???????????? Sema NO!!!!!
 
Chagua moja kuchinjwa na mumewe ufe kama paka mwizi
au umkaushie akuone bwabwa na ulinde heshima yako.
]
hili ndo tatizo la hawa viumbe mkuu, manake ukijikausha usishangae kusikia vijimaneno kuwa wewe si rizki, ukijipeleka ukalala naye usishangae kuwindwa na bastola na bwana ake. Kila uamuzi utakaochukua una negative effect kwako. Kha!
 
Mpe heshima yake......huyo ni mwanamke, tunawapenda, tunawaheshimu na tunajitahidi kuwapa mnachotaka.
 
Ushauri wa bure HUYO MAMA MUWEKE KWENYE KUNDI LAWAATHIRIKA itakusaidia kusema NO!!!! we menyewe unaonekana kulenga lenga kiaina acha hizo.
 
]
hili ndo tatizo la hawa viumbe mkuu, manake ukijikausha usishangae kusikia vijimaneno kuwa wewe si rizki, ukijipeleka ukalala naye usishangae kuwindwa na bastola na bwana ake. Kila uamuzi utakaochukua una negative effect kwako. Kha!

weka fact hapa!!
 
Achana naye huyo,kwani wewe kiongozi huna selection?,mpaka yoyote anayejipitisha mbele yako utake kuruka naye?,chonde chonde maradhi haya hayana dawa!!!
 
watch out kaka inawezekana unategwa,kisha litikee fumanizi la kupikwa then utumike kutatua shida zao............FUATILIA TAMTHILIYA YA SHADES OF SINS ITV
 
arghhhhh...hasira kali inanipanda....hivi bado vijana wengi hamjajua dawa ya wake za watu wasiopenda kutulia ndoani mwaoo??....arghhh...anyway mie huwa nafanya hivi kwa hao wasiopenda kuheshimu ndoa zao
1-..unatakiwa umle fastaaaa (kulinda hishma ya kiumeni..usijetangaziwa weye upo sharobaro records)
2..hakikisha unamla goli 1...mara 1...(kwa ufundi wa hali ya juu sanaaa) na ndio mwisho wa kuonana au kuongea naye
3...lazma atakutafuta tena alambe asali yako tamu...futa namba yake ya simu kama ulikuwa nayo...akikupigia mwambie utamwaga mboga kwa mmewe...then mwagilie mbali akaugulie frastrations na maswali mewngi kichwani mwake yasokuwa na majibu...at the end ataamua kutulia na mmewe....SIMPLE TUU.
 
Mmmmmh hii sumu usijaribu hata siku moja.
 
Jaribu yatakukuta yaliyomkuta jamaa wa moshi aliyelawitiwa kwa ajili ya mke wa mtu
 
Back
Top Bottom