Huyu mama wa mhe. Bilal ndo sura yake au hasira?

pumbatupu

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
256
82
attachment.php

YAANI HUYU MAMA KWA WAFUATILIAJI ANAONEKANAGA KUWA SERIOUS AU NI MTU WA BIFU?? KAMA VIPI ANAONA KABANWA SI ASEPE?? JARIBU KUFUATILIA HATA KWENYE HARUSI YA KAKA MDOGO WA KIKWETE..USO WA MBUZI TU??
 
Kuna watu ambao si photogenic. Yaani hawatokei vizuri kwenye picture. Maybe yeye ni mmoja wapo si kwamba anakasirika muda wote!
 
Wivu wa Mapenzi. Si unaona Mheshimiwa anavyoubinya Mkono wa Shyrose halafu kifuani pake mambo hadharani
 
kanuna ajili shy kaacha tumbo wazi anajua anaweza
kumchukulia mali zake atiii si unajua dashy
yupo single hahahahahahahaha

attachment.php

YAANI HUYU MAMA KWA WAFUATILIAJI ANAONEKANAGA KUWA SERIOUS AU NI MTU WA BIFU?? KAMA VIPI ANAONA KABANWA SI ASEPE?? JARIBU KUFUATILIA HATA KWENYE HARUSI YA KAKA MDOGO WA KIKWETE..USO WA MBUZI TU??
 
Kuna watu ambao si photogenic. Yaani hawatokei vizuri kwenye picture. Maybe yeye ni mmoja wapo si kwamba anakasirika muda wote!
Ni kweli kabisa. Inaelekea huyo Mama anapata hofu anapotakiwa ku-pose kwa ajili ya picha. Wasaidizi wa Makamu wanapaswa kuona tatizo hili na kuongea na huyo Mama ili kumjengea hali ya kujiamini mbele ya Camera.
 
Kulingana na maadili dini huyo Shy Rose alivyovaa ni chukizo. Mwanamke anatakiwa kujisitiri, ndio maana Mama VP kachukia.
 
Nyie watoto, huyo si ni mtu mzima, hata hivyo kajitahidi, sorry for this, tuwekee picha ya bi mkubwa wako tuone anavyofurahi.
 
syhrose hajachukiza kavaa vazi lake la utamaduni wa Kihindi. Yeye kama mhindi sawa vazi lake. Wanaume wa Kimasai huacha paja nje. wale King Mswati huacha Nyonyo hadharani na mfalme hupita mbele yao. wale Africa kusini wako nusu uchi ni utamaduni wa kuvaa wa jamii za watu. Nani alikumbia mtanzania ana vazi? halafu hata kama ni maadili ya dini hawakuwa kwenye mhadhara au mahubiri. walikuwa kwenye sherehe.
 
shy-rose sio mhindi ni MKURYA, da shy veeeeerrry comfotable..!! hivi ilikuwa ni wapi na lilikuwa ni tukio gani???
 
Ana mashaka na huyo dada mwenye tumbo atamchukulia mume..hachezi mbali na wa2 wakubwa wakimuomba 2 anawapa ili apate cheo..bahati mbaya wakina mama wa CCM hawampendi juu ya tabia yake ya kuchukua waume za wa2..kila akijaribu anapigwa chini cheo hapati. Uliza kilichomtokea na mama Msabaha
 
attachment.php

YAANI HUYU MAMA KWA WAFUATILIAJI ANAONEKANAGA KUWA SERIOUS AU NI MTU WA BIFU?? KAMA VIPI ANAONA KABANWA SI ASEPE?? JARIBU KUFUATILIA HATA KWENYE HARUSI YA KAKA MDOGO WA
KIKWETE..USO WA MBUZI TU??

jAMANI, Mumewe anashikilia mkono wa mwanamke aliye tumbo wazi na ma chain yote haya, mnataka bado tu acheke?
Simlaumu!
 
Jamani huyu dada anafanya nini sasa, mwenye info za chap nilikuwa siko kidogo.
 
Kwanza huyu mama kawa mvumilivu na mstahimilivu vya kutosha angekuwa amelianzisha huyu Shyrose hana adabu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom