AsanteYes ni kampuni ya mabasi etc na ni mawakala wa TOYOTA nyanda za juu kusini wapo uyole pale Mwaji Group Co.
Huyo Nusura kuna siku naenda Mbeya akiwa bado ndenjela aliovateki malori manne pale kingolwira trafiki akambamba akaikuta kesi yake msamvu yaani alikuwa anakataa katakata huyo mama tangu siku ile nikaamini kweli hizi jinsia siyo excuse ya safe driving!Inasemekana female drivers ni careless than male drivers. Sina uhakika sana na hilo.
Ndivyo ilivyo kwasababu uwezo wao wakufikiria unawafanya wafikirie nakutenda mambo mengi kwa wakati mmoja jambo ambalo linawafanya wanakosa umakini kwenye baadhi ya mambo au kwenye kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo la haraka.Ila ilo haliwafanyi kushindwa kua madereva wazuri pale wanapoweza kufanya utulivu wa akili zao.Kwaiyo wako ambao wameweza ilo na tunakutana nao barabarani na wako makini sana,wengine hawaangalii hata pembeni kidogo.Inasemekana female drivers ni careless than male drivers. Sina uhakika sana na hilo.
madreva wanawake wapo rafu Sana hawaangalii madhara yanayojitokeza.2014 nilikuwa natoka Dom nakuja Dar kufika chalinze tukakutana na basi fulani hivi ilikuwa mpya mpya kimuonekano jina limenitoka
Yule dereva wa lile basi alitoka spidi na kutu overtake kwa spidi ya ajabu kufika mbele uso kwa uso na scania dereva wetu ikabidi asogee kando kumpisha alivyofanikiwa kupita pita kama vile panya anavyopenya penya na kukoswa bado akawa anaendelea kulikimbiza gari na kuovertake huko mbele mie nilimuona yule driver ni mwansmke ila abiria wengine hawakutambua,basi zima lilipigwa na butwaa na mshangao na minongono kibao
Bahati nzuri lile basi tukafanikiwa kulikuta mile 1 stand ndipo walipomuona yule driver ni mwanamke wacha watu waanze kucheka ,wenye kuongea lake ,watu walishangaa saaana
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute
Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani
Nimekumbuka hili tukio
Huyu sio aliyekuwa ndenjela (nusura) ambae saiz yupo machameNdenjela hyo mkuu
Nwdays ni suka wa basi la machameYule wa ndenjela ni Nusura Mohammed PICHANI ila huyu sijui ni kampuni gani View attachment 516685
Kwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.View attachment 516682
Namjua huyo mfupi mwembaba anakaaa mbagara sema sasa hivi anamatatizo ya mguuu, maana alipofika kitonga mguu ulishindwa kunyoooka huku lory likiporomoka kwa kasi ya ajabu, ila cha ajabu akalimudu na kuliweka kwenye"emergency parking"amefanyiwa upasuaji anaendelea vizuri tyuuuuNa Kuna mwengine Hua anaendesha pulling(tank), halafu Transit.
Dahhh.... Asee nimefurah saaana kuona hii, mara ya mwisho kuwitness hivi ilikua miaka ya 90 kam ckosei asee tena kwenye bs za shabiby dom to dar... Kumbe n sehemu za uko pia wanapractice! Big up sana.... Lohhh! Kumbe mnaweza eeehhKwa anaefahamu atupe jibu maana ni sura ngeni tunamfahamu zaidi yule mama aliekuwa Ndenjela huyu yupo kampuni gani.View attachment 516682
Kuna ukweli fulani, na kwa nchi zilizoendelea bima yao huwa juu kulinganisha na wanaumeInasemekana female drivers ni careless than male drivers. Sina uhakika sana na hilo.
ku-overtake hovyo hovyo namna hiyo sio sifa,ni kujitafutia majanga.2014 nilikuwa natoka Dom nakuja Dar kufika chalinze tukakutana na basi fulani hivi ilikuwa mpya mpya kimuonekano jina limenitoka
Yule dereva wa lile basi alitoka spidi na kutu overtake kwa spidi ya ajabu kufika mbele uso kwa uso na scania dereva wetu ikabidi asogee kando kumpisha alivyofanikiwa kupita pita kama vile panya anavyopenya penya na kukoswa bado akawa anaendelea kulikimbiza gari na kuovertake huko mbele mie nilimuona yule driver ni mwansmke ila abiria wengine hawakutambua,basi zima lilipigwa na butwaa na mshangao na minongono kibao
Bahati nzuri lile basi tukafanikiwa kulikuta mile 1 stand ndipo walipomuona yule driver ni mwanamke wacha watu waanze kucheka ,wenye kuongea lake ,watu walishangaa saaana
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute
Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani
Nimekumbuka hili tukio
Huyo Nusura kuna siku naenda Mbeya akiwa bado ndenjela aliovateki malori manne pale kingolwira trafiki akambamba akaikuta kesi yake msamvu yaani alikuwa anakataa katakata huyo mama tangu siku ile nikaamini kweli hizi jinsia siyo excuse ya safe driving!
Kwenye miwani kuna Lens kaka sio kioo, kwahiyo anaona kioo kimoja tu ambacho ni cha gari.Alafu huyu atakuwa ni mchaga, wachaga hawapendi ujinga....wanasukuma hadi gogo. Truck za kubeba tani 30, huyo ni wa njia ya Tanga.....safi sana.. Hivi miwani haimsumbui? Maana hapo anaona vioo viwili kwa wakati mmoja