Huyu mama Afukuzwe tu uwaziri, hebu msikilize

huyu mama anapaswa awe na aibu kuanzia sasa. Mipango waliokuwa wanapanga ni miovu kupindukia.
hakuna uhitaji wa wataalamu mpaka akaleta vurugu zote hizi?? leo ndio atueleze eti tulikuwa tukutane January.
 
Mkuu, Mavunde na Ikupa si wapo??:D:D
 
Mh. rais, aina hii ya mawaziri kama huyo mama hawakutakii mema wewe binafsi na hata serikali yako kazi anayoijua zaidi ni unafiki na uchonganishi! Jaribu tu kuwaza kidogo ni jinsi gani ari ya utendajikazi imefifia na taifa limepata hasara ya kiasi gani kwasababu ya morali ya wafanyakazi kushuka!
Muulize swali dogo tu, akiwa waziri mwenye dhamana na ajira na kazi akupe tu mpangokazi wake wa mwaka huu na akueleze ametengeneza na kufanikiwa kupata nafasi ngapi za ajira mpya ndani na nje ya nchi. Sasa kama kashindwa kazi ndogo namna hiyo anawezaje kuendelea kula mshahara na usafiri wa bure pamoja na nyumba na maposho? Maliza mwaka naye hakufai hata kidogo kwani hana ubunifu! Ona ulivyomshinda kwa kajaribio kadogo ka vitambulisho vya machinga na umetengeneza milioni 500 kwa mwezi! Yeye kaweza nini zaidi ya kukuangusha?
 
Back
Top Bottom