Huyu Loydemich ni nani hapa mjini? Anafanya kazi gani?

Ila huyo mwanadada anachokifanya mjini hakitamuacha salama. Laana ya Mungu hataikwepa. Wanaharibu sana jamii hawa.. kwa kupenda kwao waishi vizuri huku watoto wa watu wanazidi kuharibika.
Watoto gan hao wanao haribika? Hebu fafanua vizuri kwan lol
 
Back
Top Bottom