Huyu LOWASA huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu LOWASA huyu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kasyabone tall, Sep 14, 2009.

 1. k

  kasyabone tall JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Sep 13, 2009
  Messages: 255
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 33
  Huyu LOWASA huyu
  Jamani watanzania tufike mahali tuwachunguze waandishi wa habari, imejengeka sana hali ya watu ambao ni wachafu kutumia vyombo vya habari kujisafisha na wengine kupima upepo wa jinsi jamii inavyowaona katika juhudi za kufufua ndoto zao.
  Si suala la kujificha baadhi ya magazeti hayaandiki kabisa habari za makamanda wa kupambana na ufisadi badala yake yanaandika habari za kutaka kuwachafua na kusafisha mafisadi. Lakini pia tukumbuke kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinamilikiwa na mafisadi. Hawa watu ni wenye fedha na wanaweza fanya lolote popote.
  Mafisadi mara nyingi wanatufanya watanzania kuwa ni watu ambao ni wagumu kuelewa na wepesi kusahu, Hivi kuna mtu mwenye upeo wa kutafakali mzuri ambaye anaweza kuamini kuwa lowasa ni mtu safi. Hizi habari za kugombea urais tumeanza kusikia muda mrefu tu.
  Huyu mtu anapima jamii inaaminije kuhusu yeye kwa kutumia mbinu ambayo anaamini kuwa watanzania wasio makini na wale ambao ni wepesi wa kusahau basi watakuwa wamesahau. Baada ya kimya cha muda mrefu na kuamini tumesau anakuja na habari ya kugombea urais, halafu eti anajifanya anakanusha akiamini amekuwa gumzo kubwa nchini. Mimi nasema anajidanganya, nasisi hatudanganyiki.
  Wanasiasa wengi tena wakubwa tu wametumia mifumo hii ya kisanii na kutaka wawe gumzo miongoni mwa watanzania. Tena watanzania wengi tu wasiomakini ambao wanaamini kila kitu kiandikwacho magazetini tena hata na makanjanja wanapata wasiwasi kuwa hawa watu wanaweza kuwa wasafi.
  HAWA watu jamani ni wachafu hata wafanyeje sio wa kushika nchi hata kidogo, tukijaribu kuwapa nchi basi watatesa watanzania wenzao bila hata ya huruma. Tunawafahamu hawa ni watu wenye jaziba, hasira tena hata na kiburi. Hawana hoja mpya haja yao ni madaraka tu.
  Suala la fulani eti anataka kugombea na eti ananguvu kwenye NEC ya chama chake ni uzushi na hisia tu. Hakuna mantiki yoyote mtu mchafu eti ananguvu. Ila ninachoamonj ni kuwa ana fedha na anaweza akajitangaza atakavyo.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Haya yote yatakwisha - Mbona Sumaye yalikwisha? Anahitaji kwenda Havard au Oxford na akirudi yote yatakuwa HISTORIA!
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,134
  Trophy Points: 280
  he is restoring publicity..........he is still dirty and i dont think that dirty water would clean him...let us wait and see what will happen in the near future.Privatly i mark lowasa as a country enemy who is behind tanzania's backward development......................
   
 4. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuja ufipa ukafunga mdomo.
   
 5. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,299
  Likes Received: 7,852
  Trophy Points: 280
  makamanda siku hizi hawapingi ufisadi.
   
 6. W

  Wamabere JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2017
  Joined: Jul 19, 2016
  Messages: 614
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Huyu alifanya kazi kubwa akiwa na diploma tu baada ya kumaliza miaka 10 ndio akaenda kusoma hiki si kituko
   
 7. T

  Trump2 JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 823
  Likes Received: 1,398
  Trophy Points: 180
  Pesa ni rafiki mkubwa wa Shetani. Lowassa ni shetani wooote wanaoamini katika pesa lazima wamuabudu Lowassa. Ni hatari hatari hatari sana
   
Loading...