Leo Lwekamwa yuko wapi?

dotto

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
1,725
255
Wanajamii kama mnakumbuka kuna jamaa alisimangwa na kushitakiwa kwa kosa la KUSIGINA KATIBA. Jamaa huyu anaitwa nani na yuko wapi? Kulingana na katiba hii tuliyonayo na uelewa huu wa wananchi juu ya vipandevipande vya katiba; jamii ya leo ingemuona vipi na kitendo hicho?
 
Leo Lwekamwa alikuwa mwanzilishi wa Tanzania Labour Party (TLP).

Akamkaribisha Lyatonga Mrema chamani, Lyatonga akamng'oa chamani!!

Kwa sasa Lwekamwa ana kesi na viongozi wa club ya Yanga!!
 
Mtikila aliomba kununua hiyo kesi ya kukayaga katiba ili ashtakiwe yeye badala ya Deo
 
Kuna kipindi cha kutafuatana kule Radio One. Huko labda utapata majibu.
 
Mtikila aliomba kununua hiyo kesi ya kukayaga katiba ili ashtakiwe yeye badala ya Deo


Mkuu nadhani jina lake ni Leo sio Deo....ila Mtikila jamani ni noma yaani ni mtu wa full utata.
 
Back
Top Bottom