Huyu!kokudo we handsome,Mwingine kokudo huna hadhi ya kua na mimi!!!

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Natamani kujua haya inakuaje inakua hv mwingine anasema handsome mwingne huna hadhi?
Ina maana huyu anaesema handsome haoni?au ndo kapenda haoni upofu anasema ni chongo?na yule anaedai cna hadhi ni kweli yuko sawasawa au anapingana na hisia zake?make huyu anaedai cna hadhi kwangu namuona wa kawaida c kama yule anaedai handsome.Sasa yupi mkweli hapa au wote wadanganyifu?
 
unaweza kuwa HB ukapewa sifa au hata usipewe sifa ila ndani ya mioyo yao wakalikubali hilo. Najua ww kokudo huwezi kumpa sifa men mwenzako ukamuambia ni HB (in seriously) but unaweza kuwa unalikubali hilo moyoni. Lkn men huyo huyo kama picha haziendi hutokawia kumuona kama SharoB/mtu wa kujikweza kwa mademu/***** fulani ivi. Sasa iyo inasababishwa na chuki binafsi. Na ndiyo kwa mademu ipo ivo ivo. Wala pesa haimati sana coz inaweza kuwa unaowapa pesa (patner, spea tyire, wakuibia, mafrendz and ndugu) ni kidogo kuliko wanaokuita. Mi mwenyewe si yananikuta...
 
Inawezekana kabisa mmoja akakuona sio kitu mwingine akakuona wa maana!It's just a matter of perception!
 
Hahahahahahahah Kokudo wewe
Mtundu sana..

Nway mie na dhani ni diffent test..
hakuna kikubwa zaidi..
 
ni kweli lizzy kila mtu ana mitazamo yake katika maisha,wengine chuki binafsi mioyoni wanakubali na wengine wanamaanisha wasemayo nk.

Inawezekana kabisa mmoja akakuona sio kitu mwingine akakuona wa maana!It's just a matter of perception!
 
Hahahahahahahah Kokudo wewe
Mtundu sana..

Nway mie na dhani ni diffent test..
hakuna kikubwa zaidi..
Kawaida afrodensi nilikua najaribu kuona tofaut ni nini?kla mmoja mtazamo tofauti.
 
unaweza kuwa HB ukapewa sifa au hata usipewe sifa ila ndani ya mioyo yao wakalikubali hilo. Najua ww kokudo huwezi kumpa sifa men mwenzako ukamuambia ni HB (in seriously) but unaweza kuwa unalikubali hilo moyoni. Lkn men huyo huyo kama picha haziendi hutokawia kumuona kama SharoB/mtu wa kujikweza kwa mademu/***** fulani ivi. Sasa iyo inasababishwa na chuki binafsi. Na ndiyo kwa mademu ipo ivo ivo. Wala pesa haimati sana coz inaweza kuwa unaowapa pesa (patner, spea tyire, wakuibia, mafrendz and ndugu) ni kidogo kuliko wanaokuita. Mi mwenyewe si yananikuta...
Uliyoyasema ni kwel 2pu.pole kwa yaliyokupata ndugu.
 
Mitazamo inatofautiana ingawa Unaweza ukawa unadanganywa pia.
Kokudo nani huyo haoni uhandsm wako?
 
Back
Top Bottom