Huyu Kasiga ni dada yake Rahma Kharoos Kasiga wa Jakaya?

Nachukia sana kauli za kipuuzi kama hizi, unamdhalilisha Mwanamke kwa faida gani? Unajisikiaje unapopost kauli za kiprimitive kama hizi? Kwanini usizungumze tu bila matusi?[/QUOT
Amesahau kua amezaliwa,na vile vile mwanamke ni mwanao,dada yako ,MAMA yako au mkeo,lakini mtu anatukana
bila aibu..........
 
Back
Top Bottom