Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

Hebu mfikishieni salamu huyu Kamanda, awaambie walinzi wake kuwa wastaarabu na kutotukera wananchi
Kwa hiyo unata chief of staff akae foleni?
kinachokuudhi haswa ni nini walinzi kubeba bunduki au kuning'inia?
Hivi unazijua kazi za chief of staff wewe,au umeona bora utoe stress zako humu
 
Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
Jamaa gentleman sana wallah
 
Mkuu mimi ni mzoefu Wa hiyo barabara tangu enzi za mkwere kila asubuhi na jioni lazima kunakuwa na ving'ora vya hawa wajomba na tulishazoea huo utaratibu, mkuu all in all heshimu mamlaka husika hasa hawa mabaka mabaka ukileta ujuaji mwingi hawakawii kukufundisha adabu mpaka uhame mji na kuwachukia milele, mbona misafara ya rais mnapigishwa foleni mpaka Masaa mawili hulalamiki?
Mwamunyange alikuwa anapita kistaarab kabisa. Hana kwere baba wa watu
 
Dakika10 ni nyingi sana labda kama huna mambo ya msingi ya kufanya.

Kila mtu anawahi kwenye shughuli zake, kuchelewesha watu kila siku sababu wewe unachelewa ni uzwazwa amka mapema next time. In case of emergencies ni sawa ila bado hakuna sababu ya walinzi wake kuning'inia milangoni.
Kumbe lile wazo la kuwapa nafasi nyingine nyeti limepata majibu kwahiyo wakiwa karibu na jamii watagusa interest zenu sidhani kama huwezi kuvumilia dk.10 tu apite wala hupungukiwi kitu lakini kwakuwa tumezoea kulalamika baso sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukutana na davis mwamunyange kwenye foleni tena akiwa hana ata gari yenye 4 stars plate number nilimgundua alivyofungua kioo ndio nkampungia mkono CDF huyu makini kabisa kupata kutokea ktk nchi hii
huyo baba Mungu ambariki sana.
Hakuwa na makuu na hajawahi kujitutumua kama wengine.
Alijali sana askari wake kuliko CDF yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa viongozi waafrika wengi wana wanaukiritimba wakishamba, hawazoei madaraka kila siku wanataka kuwakumbusha watu kwamba wanamamlaka.

Kwenye nchi kama TZ ambayo asasi za kiraia trumps asasi za kijeshi, viongozi wakisiasa wanahaki ya kupishwa njiani kuliko au sawa na hao wajeda. Tutapisha wangapi Rais, makamu, mawaziri, RCs, DCs, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama, majaji, si shughuli zitasimama wapite wao tu siku nzima. Kwa kulitambua Hilo wenzake washaacha huu ushamba wanapita kimya kimya kama mawaziri wengi siku hizi na hu-force when necessary.

Huyo anayepita kila siku kwa mbwembwe na walinzi wamening'inia milangoni ni straight up uzwazwa
 
sipati picha wakihamia Dodoma kale kamji na barabara zile itakuwaje palivojifinya hio misafara ya malimbukeni inaweza kuingiliana na kusababisha ajali kubwa
 
Back
Top Bottom