Huyu kama kweli alikataa Shilingi Bilioni 3 za Kitanzania nimemdharau bure

Jul 29, 2024
74
92
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo mabepari wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji.

Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona leo wanakuita muhamiaji haramu.

Hiyo pesa ungeichukua ukaanzisha vituo vya watoto yatima hata Mungu angekupa thawabu zako.

Sio kukataa pesa huko ni kujipa mikosi tu hela huwa haikataliwi ila inasafishwa tu.
 
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo watu wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji tu.

Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona Leo wanakuita Muhamiaji haramu.

Hiyo pesa ungeichukua ukaanzisha vituo vya watoto yatima hata Mungu angekupa thawabu sio kukataa pesa hiyo ni kujipa mikosi tu hela huwa haikataliwi.
Masharti yake unayajua?Unapenda kuishi kitumwa wewe na familia yako hadi mtakapokufa?Mambo mengine yanahitaji tafakari na kuongozwa na Mungu.Mtego utakaotembea nao maisha yote.
 
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo watu wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji tu.

Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona Leo wanakuita Muhamiaji haramu.

Hiyo pesa ungeichukua ukaanzisha vituo vya watoto yatima hata Mungu angekupa thawabu sio kukataa pesa hiyo ni kujipa mikosi tu hela huwa haikataliwi.
Mungu atusaidie sana. Wewe ndio mjinga na mpumbafu usiyejielewa. Hakuna pesa za bure ndugu. Kila pesa Ina masharti yake!
 
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo watu wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji tu.

Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona Leo wanakuita Muhamiaji haramu.

Hiyo pesa ungeichukua ukaanzisha vituo vya watoto yatima hata Mungu angekupa thawabu sio kukataa pesa hiyo ni kujipa mikosi tu hela huwa haikataliwi.
Mbona ni pesa ndogo kwa huyo jamaa anaweza kuzipata akitumia vizuri elimu yake
 
Unaanzaje kukataa 3bn kwenye nchi ambayo watu wanapambana ili kuzidiana katika Upigaji tu.

Wewe ni sio mzalendo wewe ni mshamba mpaka kesho, Ona Leo wanakuita Muhamiaji haramu.

Hiyo pesa ungeichukua ukaanzisha vituo vya watoto yatima hata Mungu angekupa thawabu sio kukataa pesa hiyo ni kujipa mikosi tu hela huwa haikataliwi.
Jinsi vile pesa zimeiharibu jamii, siku nikizikamata lazima nizilawiti. Yaani nitazichukua na kuzifungia kwenye account halafu mimi nakuwa naishi maisha ya kula kile nilichopsnda na kuvuna, maji ya bomba na visima, kila kitu naishi normal at a very lowest ili mradi niendelee kuzitia huko gerezani kwenye account ingawa najua wenye bank watakua wanazitoa nje kwa njia ya mikopo na uwekezaji ili zikatembeetembee kidogo
 
Back
Top Bottom