Huyu kaiba Kuku tu, Je MAFISADI

kwa kweli inasikitisha sana,mafisadi wanatakiwa kubanikwa kwenye moto usiozimika,mfano lowasa na chenge
 
Hii inathibisha kuwa sisi ni zaidi wa wanyama, wanyama hupigana lakini hakuna anayekaa na kushangiria. Kwa kweli wakituona wasiokuwa sisi watatuogopa. Ni aibu zaidi ya aibu.
 
Back
Top Bottom