Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na magunia 3.

Nikaanza kuingia mtaani kusaka wateja unaenda anakumbia kaniletee MI najikaza narudi naenda beba namletea dah debe limejaa Adi kumwagika jamaa anasema bado tena anazinyambua kama mawe dah iliniuma Sana na anakuambia kama hujazi silipi inakubidi uende tena ukalete zingine uje kujazia khaa! Hapo na maneno ya ajabu utahisi anaongea na mtoto wake.

Mteja mwingine anakuja kununua anataka nichague hataki zisizokomaa yani nikawaza huyu jamaa angejua ugumu wa kulima huyu!..

Mwingine nikajichanganya kumuachia debe mbili 1 alilipa 1 akasema Adi badae dah naenda badae namkuta binti yake eti yeye amesafiri atarudi Kesho nilichoka Sana nikawaza aisee mbona hali huku mtaani iko hivi?

Kuna umuhimu wa kuajiriwa tuheshimiane Sasa!
 
Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na magunia 3

Nikaanza kuingia mtaani kusaka wateja unaenda anakumbia kaniletee MI najikaza narudi naenda beba namletea dah debe limejaa Adi kumwagika jamaa anasema bado tena anazinyambua kama mawe dah iliniuma Sana na anakuambia kama hujazi silipi inakubidi uende tena ukalete zingine uje kujazia khaa! Hapo na maneno ya ajabu utahisi anaongea na mtoto wake

I feel you...
Pole sana.
 
Genius is when what is in the head is brought into reality.. there is no any other definition.

Kama umesoma sana na unachofanya hakionekani, hata mimi nitakudharau tu mkuu, wanachofeli kutufundisha huko mavyuoni ni kuhandle rejection, umedharauliwa mara moja tu umeanza kukata tamaa, you need to go like that a hundred times ndio utoke mkuu, simple, but not easy.
 
Mkuu inahitaji moyo zile kitu hatari! Very painful
 
pole sana.
kuna mwingine alikuwa anauza Icecream siku alipodhalilishwa na wauza icecream wenzake ambao ni darasa la saba wengine hawajasoma. Alipanic akaanza kutukana kizungu, alafa akaita wanafunzi akagawa bure icecream zote kwa kususa. Watoto wanafurahi tu kumbe muuza icecream anajua kizungu.

Dada wa watu alikuwa ni Graduate mwalimu aliyejichanganya na wananzengo kwenye bizness akaacha kabsa kwa hasira.

Uvumilivu muhimu mkuu, maisha yanahitaji unyenyekevu tu na akili ya kipambana na watu kama hao, hapo vyeti havina nafasi maana haviliwi.
 
Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na magunia 3

Nikaanza kuingia mtaani kusaka wateja unaenda anakumbia kaniletee MI najikaza narudi naenda beba namletea dah debe limejaa Adi kumwagika jamaa anasema bado tena anazinyambua kama mawe dah iliniuma Sana na anakuambia kama hujazi silipi inakubidi uende tena ukalete zingine uje kujazia khaa! Hapo na maneno ya ajabu utahisi anaongea na mtoto wake

Mteja mwingine anakuja kununua anataka nichague hataki zisizokomaa yani nikawaza huyu jamaa angejua ugumu wa kulima huyu!..

Mwingine nikajichanganya kumuachia debe mbili 1 alilipa 1 akasema Adi badae dah naenda badae namkuta binti yake eti yeye amesafiri atarudi Kesho nilichoka Sana nikawaza aisee mbona hali huku mtaani iko hivi?

Kuna umuhimu wa kuajiriwa tuheshimiane Sasa!
Usomi wakujigamba kwa vyeti umepitwa nawakati!umefanyanini kama msomi?
 
pole sana.
kuna mwingine alikuwa anauza Icecream siku alipodhalilishwa na wauza icecream wenzake ambao ni darasa la saba wengine hawajasoma. Alipanic akaanza kutukana kizungu, alafa akaita wanafunzi akagawa bure icecream zote kwa kususa. Watoto wanafurahi tu kumbe muuza icecream anajua kizungu.
Dada wa watu alikuwa ni Graduate mwalimu aliyejichanganya na wananzengo kwenye bizness akaacha kabsa kwa hasira.
Uvumilivu muhimu mkuu, maisha yanahitaji unyenyekevu tu na akili ya kipambana na watu kama hao, hapo vyeti havina nafasi maana haviliwi.
Kweli maisha yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu kwa Hali hii?
 
Back
Top Bottom