Huyu jamaa ni shushushu?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
14,937
26,644
11226014_637295263037705_3827498250106926897_n.jpg



11330005_637295309704367_7262984677814200730_n.jpg
 
Huyo kijana anaitwa Sambala Ole Comrade ni mwanakijiji na diwani wa Mondo wilaya ya Chemba anaishi Kawe ni Team EL muda mrefu na ameshiriki kazi baadhi za kumtangaza EL kwenye mitandao ya kijamii lakini Pia Sambala aliwahi kama bado anaendelea na kuwasiliana na viongozi wa kundi la waasi wa M23
 
Ha ha ha Kanenepa tu ni vivyohivyo. Nafikiri ni katika vijana ambao wanauthubutu na wanaweza kufanya mambo makubwa wakipata fursa.

Wakati Huo Unamjua Hilo Chogo Lake Na Huo Mbichwa Wake Ulikuwa Unafanana Hivyo Hivyo au Hapa Katikati Yalimtokea Ya Kumtokea?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom