Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,401
- 79,636
Watu na bahati zaoHuyu jamaa siku ya kupiga kura Kenya alienda na Makande (githeri) kwa sababu aliwai foleni na akuweza kunywa chai!. Kuna mtu akampiga picha na kupost ktk mitandao ya jamii,baada ya masaa kadhaa likawa tukio kubwa zaidi kuliko ata uchaguzi wenyewe.Jamaa mpaka sasa amekuwa serebrit huko kenya na ameshapewa zawadi za mamilioni pamoja na kiwanja Mjini Nairobi.Kabla ya hapo kazi yake ilikuwa ni mfagiaji wa jiji la Nairobi