Said R Mnyanga
Member
- Nov 28, 2016
- 34
- 23
nimemuona kwenye baadhi ya picha katika group la facebook lakini sikuelewa chochoteTUELEZE SABABU YA KUTAKA KUMJUA, JE TAPELI, MWIZI , MGONI,ANAHIFADHI WAHAMIHAJI HARAMU AU MTUHUMIWA WA KOSA LOLOTE?
Githeri?Uyo ni yule mzee alienda na Githeri kwenye kupiga kura Kenya.Saivi amekula shavu naona makampuni mengi yanamtumia.
Makukuru, Ngararum chakula fulan kama Makande hivi ila mahindi yake yanakuwa hayajakobolewa... Picha yake ilisambaa na kutrend kwenye social networks kama fb, Twitta na Insta kipndi kile cha uchaguzi wa Kenya..alienda kweny mstari wa kupga kura akiwa na Chakula hicho amekishika mkonon
Jamaa wa kenya huyo...style yake waliipenda hadi wakaanza kuiphotoshop na mastaa mbalimbal na viongozMakukuru, chakula fulan kama Makande hivi ila mahindi yake yanakuwa hayajakobolewa... Picha yake ilisambaa na kutrend kwenye social networks kama fb, Twitta na Insta kipndi kile cha uchaguzi wa Kenya..alienda kweny mstari wa kupga kura akiwa na Chakula hicho amekishika mkonon
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone