Huyu jamaa ni nani?

Nov 28, 2016
34
23
e5c9a4f7b8ebf1c836ba3851b9f646d5.jpg


746cb16225ed49c78813aea4deb5e234.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si yule jamaa mnywaji safi wa gongo kweli?? Nawaza tu yaani alikuwaga na fweza akafilisika
 
Huyu jamaa siku ya kupiga kura Kenya alienda na Makande (githeri) kwa sababu aliwai foleni na akuweza kunywa chai!. Kuna mtu akampiga picha na kupost ktk mitandao ya jamii,baada ya masaa kadhaa likawa tukio kubwa zaidi kuliko ata uchaguzi wenyewe.Jamaa mpaka sasa amekuwa serebrit huko kenya na ameshapewa zawadi za mamilioni pamoja na kiwanja Mjini Nairobi.Kabla ya hapo kazi yake ilikuwa ni mfagiaji wa jiji la Nairobi
 
Makukuru, Ngararum chakula fulan kama Makande hivi ila mahindi yake yanakuwa hayajakobolewa... Picha yake ilisambaa na kutrend kwenye social networks kama fb, Twitta na Insta kipndi kile cha uchaguzi wa Kenya..alienda kweny mstari wa kupga kura akiwa na Chakula hicho amekishika mkonon

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Makukuru, chakula fulan kama Makande hivi ila mahindi yake yanakuwa hayajakobolewa... Picha yake ilisambaa na kutrend kwenye social networks kama fb, Twitta na Insta kipndi kile cha uchaguzi wa Kenya..alienda kweny mstari wa kupga kura akiwa na Chakula hicho amekishika mkonon

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Jamaa wa kenya huyo...style yake waliipenda hadi wakaanza kuiphotoshop na mastaa mbalimbal na viongoz

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Siku sio nyingi alipata deal ya kusaini kwenye kampuni ya chakula huko kenya kwa ajili ya matangazo...vilevile kampuni ya safaricom ilimzawadia simu ya kisasa ya samsunh galaxy S8+ yeye na familia yake.. Ni mzee wa maisha ya kawaida huko kenya ana miaka 41 ana mke na mtoto mmoja..Ni mfagizi/mfanya usafi ILA SASA HIVI MAMBO SAFI MUNGU KAMBARIKI MAISHA YAMEBADILIKA

source. JF KENYA FORUM

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Asante kwa kujua hilo. Ila nililojifunza zaidi kwa threads hii ni kuwa sasa nimepoteza imani na picha baada ya kuona jinsi mafotoshop yanavyowezekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom