Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,432
- 5,141
Hisham Tawfiq a.k.a DembeMoja kati ya actor wangu ninayempenda kwenye masuala ya kipelelezi hasa ktk hii kazi ya "The blacklist" akiwa na yule mwamba black mmoja hivi sijui anaitwa nani? Kama msaidizi wake