Huyu jamaa hana chama, Lowassa asiposhinda itakuwaje?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,743
2,285
kp29092015.jpg

Hapa itakuwa full mtatizo!!!
 
Ndiyo maana ni mkweli maana hana chama, Hoja kwamba ataenda wapi haina msingi. Si ni mtanzania! Yeye ni waziri mkuu mstaafu na ana marupurupu yake kwa cheo hicho. Kumbuka hata maalimu Seif Sharif anapata malipo yake kama waziri kiongozi mstaafu. Mafao hayo hayategemei chama bali nafasi uliyokwisha shika.
 
Lakin atakuwa ameaibika kinoma!!!
~:peace::peace::peace:
 
Aibu gani...kusema ukweli...ndo ujasili..kwanza ameibuka kisiasa kuliko alipokuwa CCM. Sasa hivi nyota yake ipo juu hata kuliko Pinda anaeenda shamba sasa.
 
Mkakati wake ni ushindi tu ambao unakwenda kupatikana tena wa kishindo.
Hiyo mingine ni propaganda mfu.

Jipe moyo maana hata mgonjwa lazima apewe faraja. Msije tu kusema mmeibiwa kura.matokeo tutayabandika vituoni mara tu baada ya watu kupiga kura.
 
Back
Top Bottom