Huyu jamaa anapenda pure leather

Mutukwao

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
211
25
Kanidokeza kwamba huwa yeye akitaka kunanihii hataki kumask ile tree yake kwa sababu inakua kama ubuntu.hvyo ili yeye aenjoy lazima iwe kitu pure leather na yuko tayari ile flash yake ipate virus.tumsaidie jamani!

asipojisaidia mwenyewe sie tutamsaidiaje? Hajui haya magonjwa basi akapime na patner wake km wapo salama wawe waaminifu

Yupo sahihi kabisa. Unafikiri maisha yako yatazuiwa na 200/=? Kula kitu pure, mungu pekee ndie mwenye uwezo wa kukulinda.

tumsaidie nni ssa akati ye ndo anapenda hvo.................hajui kinachendelea duniani

Hakuna haja ya kumsaidia lolote maana anajua na amesikia na ameona kinachoendelea
So kumsaidia mwambie aendelee kikimpata cha kumpata atajua madhara yake

.......tutamsaidia kumzika tu,kwa sasa hana msaada kwani ndio anapenda hivyo

Mi naona 2 wa2 wanashauri cjaelewa ht kidogo!! cjui KUMASK ILE TREE YAKE mara UBUNTU cjui ....... m2 akitoa thread afunguke bhana cyo anafila fila maneno.

hakuna taabu mkuu....antivirus zipo za aina nyingi...hata boot sector ya hiyo flash yake ikiharibiwa inawezekana kurekebishwa....lakini ubuntu mbona iko poa sana...kwann yeye anaogopa kuimask?

Ni vizuri zaidi kwa kuwa amehiari ye mwenyewe flash yake ipate virus! Ka mtu mwenyewe ni mwanjomwanjo ata akivaa mask bado tu itamtumbukia nyongo!

Mi naona 2 wa2 wanashauri cjaelewa ht kidogo!! cjui KUMASK ILE TREE YAKE mara UBUNTU cjui ....... m2 akitoa thread afunguke bhana cyo anafila fila maneno.

Doh huu mtandao haukufai bana...Hapa ni kwa wale tunaoitwa "Wanadamu wenye fikra pana" . ..Umepotea njia nenda Facebook au Twitter huko ndiko kunakufaa.
MCHANGO..doh unapenda NGOCHI(kavu kavu) KWA NGOCHI,nenda taratibu maana mwendo kasi noma au ukijaza sana utazama...Magonjwa ni mengi ndugu,au hutaki kushuhudia mapinduzi ya mara ya pili Tz yakiongozwa na CHADEMA.

What is this? Pure leathers or otherwIse, nenda ANGAZA uelimishwe, utakula kitu kavu kavu.

Doh huu mtandao haukufai bana...Hapa ni kwa wale tunaoitwa "Wanadamu wenye fikra pana" . ..Umepotea njia nenda Facebook au Twitter huko ndiko kunakufaa.

MCHANGO..doh unapenda NGOCHI(kavu kavu) KWA NGOCHI,nenda taratibu maana mwendo kasi noma au ukijaza sana utazama...Magonjwa ni mengi ndugu,au hutaki kushuhudia mapinduzi ya mara ya pili Tz yakiongozwa na CHADEMA.
yahe kumbe weye fikra zako pana kazitanua nani? naomba na miye nikutanue fikra.

mwache yamkute ndio ataona cha mtema kuni... Ajue hakuna ant-virusi wa trojans wa H'Ai V.. Ohhho!

Similar Discussions

Back
Top Bottom