Huyu Jamaa Aliyesimama Kushoto Kwa Rais Magufuli Ni Mlinzi?Je Yuko Sahihi Kwa Akifanyacho?

Huyu Kijana nadhani atakuwa ni daktari wa Raisi, angalieni msije kumuharibia kazi maana JF ni hatari sana kwa kuharibu kazi za watu
 
Huyu jamaa anaitwa Berege namjua ni mtumishi wa Ofisi ya Bunge sijui siku hizi yuko huko au vipi,inawezekana hapa alikuwa MC au Floor Manager coz Ofisi ya Bunge ndiyo inatoa Madawati.
 
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?

Walinzi wa Raisi huwezi wajua wote wengine utawaona wanacheka hovyo,wapo kama hawapo wakaa kilege lege jaribu kuibua sekeseke ndio utawajua waliokuwa wakicheka sio kama ulivyokuwa ukiwaddhania kuwa ni ze comedy mziki wao utakufanya umwogope milele mtu yeyote anayecheka cheka.

Komandoo KIKWETE alikuwa anacheka muda mwingi mpaka watu wakamwita dhaifu cheka cheka.Ilipofika kipindi cha Kukata Jina la Lowasa ndio wakajua Kikwete ni komandoo ni sio ze komedy mchekeshaji.Kawaulize CHADEMA hadi leo KIKWETE ni dhaifu au sio dhaifu.Aliwaliza barabara na Lowasa wao.Mtu akicheka usimchukulie hajui kazi yake.Kuna wachekao wauaji ukiwasogelea ,wanakuua kwa spidi ya kipanga sekunde tu hata maji huombi.Hata wachawi wakubwa huwa ni watu wa kucheka cheka lakini weeeee!
 
Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Huyu jamaa ni msaidizi wa speaker. Alimaliza UDSM mwaka 2008. Alikuwa mwanafunzi wa Education na Political Science.
 
Awe mlinzi au asiwe mlinzi. Uwepo wake na muonekano wake pale ni kichefuchefu, umetoa picha mbaya sana. He is disgusting!
 
Ni vyema ungetambua majukumu ya Aide - De - Camp ndio uwe na mantiki ya kukosoa utendaji wake. Kwa kukusaidia tu huyo bwana hahusiki na Usalama wa Mheshimiwa Rais.
Sawa kama hahusiki inakuaje anaachwa anazama mfukoni anatoa leso namna ile au anakaa mitaa ile ambayo kwa mkono tu anamfikia prezdaa, hebu ngoja nimwite mwandamizi GENTAMYCINE aseme kama ndo wanafundwa hivyo pake eagle wing
 
Huyo sio mlinzi inaonekana wazi!labda ni mshehereshaji tu kama walivyo sema watu wengine
 
Niliwaambia Jana kupitia makala yangu kawa rais wetu awe makini hasahasa kuelekea Dodoma moderator wakaondoa huo Uzi sasa na wewe kumbe umeanza kuwa na mashaka na walinzi wa rais
Time will tell
 
Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Eti tumepewa na Mungu kama zawadi, wewe na nani mliopewa? jizungumzie nafsi yako usichanganye na wasiohusika na mapenzi uliyonayo kwa huyo unaemshabikia.
 
Huyo ni mshereheshaji wa hafla. Sijawahi kumuona mlinzi wa Rais akivaa Tai na kujibinuabinua na kujifuta jasho kama afanyavyo huyo MC
 
Niliwaambia Jana kupitia makala yangu kawa rais wetu awe makini hasahasa kuelekea Dodoma moderator wakaondoa huo Uzi sasa na wewe kumbe umeanza kuwa na mashaka na walinzi wa rais
Time will tell
Umeshaambiwa huyo si Mlinzi wa Rais. Mlinzi wa Rais ni huyo aliyesimama kulia kwake
 
Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda

Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo

Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Duh Tanzania tuna safari ndefu sana.
 
Amewahi kuwa HP pale jitegemee akiwa A level. Kama ni mlinzi au MC sijui. Ila umakini wake ni mdogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom