MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Huyu Kijana nadhani atakuwa ni daktari wa Raisi, angalieni msije kumuharibia kazi maana JF ni hatari sana kwa kuharibu kazi za watu
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?
Huyu jamaa ni msaidizi wa speaker. Alimaliza UDSM mwaka 2008. Alikuwa mwanafunzi wa Education na Political Science.Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda
Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo
Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Mkuu nadhani ulimaanisha EventNi Mc wa hiyo invent
Sawa kama hahusiki inakuaje anaachwa anazama mfukoni anatoa leso namna ile au anakaa mitaa ile ambayo kwa mkono tu anamfikia prezdaa, hebu ngoja nimwite mwandamizi GENTAMYCINE aseme kama ndo wanafundwa hivyo pake eagle wingNi vyema ungetambua majukumu ya Aide - De - Camp ndio uwe na mantiki ya kukosoa utendaji wake. Kwa kukusaidia tu huyo bwana hahusiki na Usalama wa Mheshimiwa Rais.
Ebu Mwangalie Vizuri:
a)Anacheka cheka hovyo!
b)Asimami Wima Wowote
c)Anawayawaya Uku na Uko
d)Je Kwa Hali Hii Usalama wa Raisi Upo Sawasawa?
Eti tumepewa na Mungu kama zawadi, wewe na nani mliopewa? jizungumzie nafsi yako usichanganye na wasiohusika na mapenzi uliyonayo kwa huyo unaemshabikia.Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana
Japo sijui kiundani ila naamin binadamu anapocheka umakin wake hupungua hasa katika kujihami au kulinda
Isimamaji wake unatia mashaka kama kweli anaweza kufanya jambo la haraka anapohitajika kufanya hivyo
Tafadhal sana kaka huyo mr president tumepewa na Mungu kama zawad so tulindie zawadi yetu kaka
Umeshaambiwa huyo si Mlinzi wa Rais. Mlinzi wa Rais ni huyo aliyesimama kulia kwakeNiliwaambia Jana kupitia makala yangu kawa rais wetu awe makini hasahasa kuelekea Dodoma moderator wakaondoa huo Uzi sasa na wewe kumbe umeanza kuwa na mashaka na walinzi wa rais
Time will tell
Sasa mkuuUmeshaambiwa huyo si Mlinzi wa Rais. Mlinzi wa Rais ni huyo aliyesimama kulia kwake
Duh Tanzania tuna safari ndefu sana.Ila kama ni mlinzi basi umakini wake ni mdogo sana