Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

Ndo kitu ambacho anashindwa kukielewa huyo..

Uthibitisho lazima atuambie kutoka katika vitabu vya İbn kathir, na sio Google..

Mpaka sasa ameshindwa kutuletea huo uthibitisho..
Hawa hata kitabu cha Imaam Ibn Kathir hawana.

Ukisoma tafsir ya Ibn Kathir imeweka maoni yote wazi na athari yenye ngu ni ile ya swahaba Ibn Abbas,ambayo imewataja Sadiq,Saduq na Shalum.

Lakini imaam akaonyesha ya kuwa hao wanazuoni walioutja mji huo wa Antioki hawana uhakika.

Swali lingine ni je hao mitume kina Paulo walitumwa na Yesu au Allah ? Ukisoma aya inaonyesha ni Allah na wao wanadai wametumwa na Yesu. Haya maswali hawawezi kujibu.

Lingine ni kuwa aya inaonyesha dhahiri hao mitume walitumwa kabla ya Musa,ndiyo maana mji husika na wstu wake ukaangamizwa. Ndiyo maana baada ya Kuondoka Musa hapakuwa na maangamizo mengine ya halaiki kwa watu walio kataa imani ya kweli. Sasa swali ni je lipi linalo wafanya waseme Bulus ni Paulo ?
 
Abdool nakucheka maana hata vitabu vyako huvijui, nenda kasome usiku huu , kasome scholar wa zamani kama watano tukutane kesho asubuhi , niku spank

Lala ukimuota Bulus na Ibn Kathir
Ibn Kathir kawashika gonads na amezivuta kwa nguvu
Hao wote nimewasoma na ukiangalia masimulizi yao hayaendi mpaka kwa Mtume.

Lakini hili Ibn Kathir amelimaliza mwenyewe,ndiyo maana nahitimisha ya kuwa huna kitabu cha Imaam Ibn Kathir.

Sasa kwanza tu huo mji wenyewe kwa hakika si antioki.

Sasa kamalizie kuyasoma aliyo yaandika Imaam Ibn Kathir,kisha uje tujadili kielimu na ujibu maswali niliyo kuuliza.

Lakini je Luka anamzungumziaje Paulo ?
 
Hapa kweli umemkamata !!

Je, Huyo Paulo alikuwepo kipindi cha Nabii Mussa ?

Hawezi kukujibu kwa hii hoja,, atakimbia...
Harudi tena,halafu hoja hii ameielezea imaam Ibn Kathir katika kitabu chake. Hawa vitabu hawana wanaokoteza mitandaoni tu kisha wanakuja huku kujadili, unakuta wanaacha mambo kibao.Imaamu Ibn Kathir amekusanya yote hayo na akahitimisha.
 
Hapa kweli umemkamata !!

Je, Huyo Paulo alikuwepo kipindi cha Nabii Mussa ?

Hawezi kukujibu kwa hii hoja,, atakimbia...
Naona Abdool unaona umepata relief, lala ukijua ngoma bado nzito, nimewapa kazi usiku huu kasomeni scholar wenu wanzamani wa5 KUHUSU Aya husika kesho nije niwamalize

Kasome pia ISSA na undugu na Imran , Haruni na Mussa alafu tukutane kesho

Ibn Kathir kavuta gonads kwa nguvu , lala ukimuwaza bulus
 
Harudi tena,halafu hoja hii ameielezea imaam Ibn Kathir katika kitabu chake. Hawa vitabu hawana wanaokoteza mitandaoni tu kisha wanakuja huku kujadili, unakuta wanaacha mambo kibao.Imaamu Ibn Kathir amekusanya yote hayo na akahitimisha.
Nimekupa kazi usiku huu kasome scholar wa5 KUHUSU Aya husika tukutane kesho , unataka upendeleo gani zaidi Abdool
 
Nimekupa kazi usiku huu kasome scholar wa5 KUHUSU Aya husika tukutane kesho , unataka upendeleo gani zaidi Abdool
Nakushangaa unaponiambia hili,wakati Imaam Ibn Kathir ameyaweka maoni yao katika Tafsir yake.

Laiti ungekisoma kitabu cha Ibn Kathir,usingeandika huu ujinga na kunipa mimi unayo dai kuwa ni kazi.
 
Nani alimpatia mimba huyo Mariam?

Huyo aliyempa mimba ndio baba yake
Una kichwa kigumu mnoo kwa hyo na hao wenye tunner's syndrome mama zao walijipa mimba? au umeshindwa kujua kuwa Alionesha miujiza yake ya uumbaji kwenye tumbo la maryam? na ipo hekma hapo.
 
17.Baada ya Yesu kusema maneno hayo, alitazama mbinguni na kuomba, “Baba, wakati umefika. Mpe utukufu Mwanao ili Mwanao naye akupe wewe utukufu. 2 Ulimpa Mwana mamlaka juu ya watu wote ili awape uzima wa milele wale wote uliompa. 3 Na uzima wa milele ndiyo huu: kwamba watu watakujua wewe, Mungu pekee wa kweli, na kwamba watamjua Yesu Kristo, Yeye uliyemtuma. 4 Mimi nimeimaliza kazi uliyonipa niifanye. Nami nimekupa utukufu duniani. 5 Sasa, Bwana, unipe utukufu wako niwe nao pamoja nawe, utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu.

hii Yohana 17:3 ukiendelea ule mstari wa 5 yesu anasema unipe utukufu niwe pamoja nawe ule utukufu niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu. hii inathibitisha kuwa yesu ni mungu na alikuwepo na baba kabla dunia kuumbwa. so umeamua kuchukua kipande tu cha mstari kupotosha. pia umeruka verse ya nyuma yake inayoelezea kua yesu ni mwana wa mungu.

Yohana 20:17 je hii verse unakubaliana nayo kwanza? maana yake kwanza unakubali kuwa yesu alifufuka na pia unakubali concept ya kwamba kuna mungu baba na mwana, kwa maana yesu alisema anarudi kwa baba. quran inasema Allah hawezi kuwa na mwana.
Kwanza unapingana na Paulo aliyekuletea ukristo

Wewe unasema kuna Mungu baba na Mungu mwana wakati Paulo anasema Yesu ndio Mungu mkuu

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;


Pili hilo andiko la Yohana 17:5 wala haliamanishi kuwa Yesu ni Mungu kabla ya kuja Dunia Yesu alikuwa kwa Mungu kiroho na sio Yesu tu hata wewe kabla hujaja duniani roho yako ilikuwapo kwa Mungu na binadamu ambao hawajazaliwa kwa sasa roho zao zipo katika kabati la Mungu

Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.


Siku zote wanaotaka kudanganya watu kupitia maandiko ya Mungu huwa huwa wanatumia aya ambazo hazipo wazi sisi waislam tayari Mungu ameshatufundisha hilo katika Surat Imrana

Mbona hili andiko lipo wazi tena kama wewe unamfuata Yesu inabidi ulifuate maana kwa mujibu wa Yesu usipokubali haya uzima wa milele huupati yani huendi peponi ila utaenda motoni


Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

[]BNifafanulie hili andiko sio kwa matamanio yako ila kwa maana aliyo ikusudia Yesu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
yesu hakuandika alifuata Hebrew bible mafundisho ya kiyahudi bible hii mpya iliandikwa na Paul miaka mingi baada ya yesu kufariki yalikuwa maelezo yake.
Sidhani kama unajua ulichoandika, au kitabu chako hicho ndio kinakudanganya kama ambavyo kimekuwa kikidanganya.
 
Dini zote ukifatilia vitu vingi vinafanana tunatofautiana vitu vichache sana.

Na sehem yenye watu wawili watatu lazima mmoja awe tofauti, wote hatuwezi kuwa sawa.
Uislam na Ukristo n vitu visivofanana hata punje zina tofautiana kwa kila kitu ,,,,,sema unachofikiri n kufanana kati ya dini hizo mbili nikufafanulie dhahiri hasa
 
Mfano hao malaika jibril/Gabriel ina maana ni malaika wawili tofauti?? Adam na hawa ina maana kuna Adam wa kiislam na Wa kikristo??
Naanza na kwa mujibu wa biblia takatifu Gabriel n malaika kerubi ambaye alikuwa malaika mkuu baada ya uasi wa shetani kule mbingun rejea ezekiel 28:11- na kuendelea piah ufunuo wa yohana 6:12 na kuendelea na malaika gabriel alihusika katika kutangaza ujio wa YESU KRISTO na ndiye aliyempa taarifa mariam amwite (Emmanuel yaan MUNGU pamoja nasi) lkn kwa mujibu wa quruan tukufu jibril n malaika mkuu toka mwanzo na hakushiriki katika tangazo la uzazi wowote
 
Mfano hao malaika jibril/Gabriel ina maana ni malaika wawili tofauti?? Adam na hawa ina maana kuna Adam wa kiislam na Wa kikristo??
Adam na hawa wa kwenye Biblia takatifu walimsujudia MUNGU peke yake na hawakusujudiwa yeyote yule na tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu ambao Allah alimwambia shwetan kuwa awasujudie adam na hawa lakn shwetan akakataa na hapo ndo ukawa mwanzo wa uasi wa shetan,,,,,, ambao piah n tofauti kabisa na jinsi shetan (lucifer) alivoasi
 
Ndio ni mmoja nilichosema mm kuna mambo tunatofautiana tu lakini ni huyo huyo
Gabriel alimwambia mariam(yule wa kiyahud) kuwa atakayezaliwa n mtakatifu tena akasema n Mwana wa MUNGU. Tofaut na jibril ambaye hajui kama KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU
 
Huo ndo utofauti n mdogo wote walitokewa na shetani wote hawana baba wala mama sjui tunaelewana?

Tunatofautiana content tu points zile zile.
Hapana hawa n malaika wa2 tofauti na hwenda mmoja wapo hayupo kabisa hajawah kutokea n wa kutungwa hasa.😇✍
 
Mkuu wacha kubisha MUNGU ni mmoja malaika ni huyo huyo adam na hawa ndo wale wale was waislam na wakristo hata hao wayahudi pia
N kwel kabisa lkn adam na hawa wa kwenye biblia takatifu n tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu. Inshort biblia haifanani na wala haipatan na quruan tukufu .
 
Kumbe unakubali kuwa hakumaanishi Paul,,

Sasa kuna haja ya kuendelea na mjadala ?

Kumbuka Bado nakudai mwaka, mwezi na tarehe alozaliwa Yesu !!
Yesu alizaliwa tarehe 01/01/01.
Ndio maana leo ni tarehe 07/05/2022 Baada ya Kristo.

Nyie sijui mko tarehe ngapi, mwezi Shaabani mwaka mnaujua wenyewe.

Yaani wewe hata jambo hili jepesi hulifahamu ?

Kweli Allah na Muhammadi wamewapiga na kitu kizito kichwani
 
Ila mjue kabisa Muhammad Hana mbingu (Pepo) ya kuwapeleka kwa sababu hata yeye hajaienda ...Hii ni njia ya jehanam tu.

Tena ni vizuri watu muelewe. Uislam ni uislam. Ukristo ni Ukristo. Wacheni kuchanganya mambo eti Mungu wetu ni mmoja si kweli.
Ukimtaka Mungu wa kweli mtafute Mungu wa kweli Ukitaka udanganyifu wa shetani endelea nae Jehanam inawangoja

Kama una akili zako timamu lazima uwaze
Kulikuwa na sababu gani kumbadilisha Yesu jina kumuita Isa bin Mariam kama ndio huyo huyo akiwa kwa Ukristo na akiwa kwa uislam?

Kwa sababu Yesu si jina lake Bali ni jina alipewa na Baba yake
Kwamba tazama bikira atachukua mimba na atazaa mwana na Jina lake mtamuita Yesu. Yeye ndie atakayewaokoa wanadamu na dhambi zao.

Sikiliza! Amuaminiye yeye hahukumiwi Bali asiye muamini amekwisha kuhukumiwa.

Okay. Isa ni nani?

Muhammad ni nani?

Mbingu yao ni ipi?

Na Mungu wao ni yupi?

Hakuna Pepo bila ondoleo la dhambi Je nani anaondoa dhambi huko? Na kwa mamlaka yapi?

Ngoja niwafumbue macho.
Kuna ufalme wa Mungu na ufalme wa uajemi ( Arab kingdom)
Kipindi Cha Kina Meshack , Sheldrake, na Abednego, kwenye kitabu Cha Daniel..ukasome.
Huyu mkuu wa uajemi alizuia maombi ya Daniel kwa siku 21 Hadi Malaika alipotumwa kupigana Ile vita na ule ufalme wa uajemi ndio yake majibu ya Daniel yaliachiliwa. So unaweza kuelewa huu ni ufalme kamili unaoshindana na ufalme wa Mungu tangu mwanzo
So Shetani kama Baba wa uongo aligeuza maandiko akaweka group la uasi kutoka kwenye kweli ya Mungu
Hiyo roho chafu ikapandikizwa kwa Muhammad..kwa wanaofwatilia kusoma vitabu mbalimbali vya historia ya Muhammad ni kwamba alikuwa kama Terrorist flani hivi kinyume na Serikali akatengeneza kikundi chake kama vile Boko Haram wakachukua wanawake kwa nguvu na kuishi nao kwenye Kambi zao na kuwazalisha
Yalikuwa ni maisha ya vita wakati wote kwa sababu alipingwa na Serikali halali hata mwisho wa Muhammad alikuwa Hana Taya Moja sababu ya kupigana

Alioa mpaka watoto wadogo wa miaka 7
Ingekuwa ni miaka hii angepaswa awe jela
Wanaficha mambo haya lakini ni kweli yalitokea

So unapoona ugaidi unatokea si jambo jipya ni mambo yalishakuwepo
Hakuna jambo jipya chini ya jua
Unavyoona vile Boko Haram wanafanya ndio uislam Hawa wengine huku wanatumia tu kwa sababu ya sheria za nchi zinawabana ila wakipewa Uhuru hawa jamaa ndio utaelewa
roho ni Ile Ile inatenda kazi. Ni watu wa mwilini kabisa.
 
Ukitaka historia ya kweli ya Isa Bin Maryam nenda Saudi arabia na Madina.
Watakuonesha alipozaliwa, alipoishi, ukoo wake na alipo hivi sasa.

Ukitaka historia ya Yesu Kristo nenda kwa ndugu zake Wayahudi huko Israeli.

Watakuonesha alipozaliwa, alipo anza kuhubiri, ndugu zake, alipohukumiwa, aliposurubiwa, alipokufa, alipozikwa, alipofufuka na alipo paa Mbinguni.

Sehemu hizi zipo mpaka hii leo watu wanaenda kila kukicha kupata shuhuda hizi na wanajiridhisha kuwa ni sahihi kabisa.

Ghafla anatokea mtu huko Maka miaka Mia tano baada ya Yesu Kristo wa Israeli kupaa Mbinguni.

Anaanza kukanusha ukweli wa Yesu wa Israeli ambaye hata hakupata kumwona kwa macho na hata huko Israeli hajafika.

Halafu wanatokea watu wanamwamini. Hakika ni mambo ya ajabu sana.
Eti historia ya Yesu wa Israeli tuipate toka kwa Wakureshi wa Saudi Arabia ?

Hivi ninyi mkipewa Assignment ya kuandika historia ya Yesu Kristo mtaenda kufanya utafiti Israeli aliko zaliwa na kupaa Mbinguni au kwa wale Waarabu Mabedui ?

Mkiambiwa hizo zinazowaambia huo uwongo ni Satanic Verse mnakasirika na kutaka kumchinja mwandishi badala ya kumjibu.

Kawaida ya Mchawi usipomridhisha ye anataka kukuroga tu na hana msamaha wala kutaki kukujibu.

Mmeletewa Dini mkachanganyiwa humo Mwezi na Nyota, Majini, Jiwe Jeusi, Kuelekea Kibra ili Allah akusikieni, lugha ya Kiarabu. Hata kuuliza maana yake hamtaki.
Mtabaki na akili timamu kweli.
Mnashindwa hata kuuona ukweli wa Yesu Kristo na Isa.

Wayahudi wametengeneza hadi FILAMU za Maisha ya ndugu yao Yesu Kristo bado hamuwaamini.

Kuna watu walitoa filamu ya Maisha ya Yesu Kristo Wayahudi wakaikataa, wakasema "sisi hatuna hayo matukio kwa Yesu tunaye mjua" na hiyo filamu ikajifia tu.

Mkatoa Injiri ya Barnaba nadhani mnajua iliko ishia.

Hebu jaribuni kutengeneza filamu ya maisha ya Yesu Kristo halafu onesheni anazaliwa chini ya mti wa Mtende na anaanza kuhubiri akiwa bado mtoto mchanga halafu tuone kama itaaminiwa na ndugu zake Wayahudi.

Huyo Nabii wa Majini Muhammadi hamtaki hata kutengeneza FILAMU ya maisha yake kwa kuogopa kufedheheshwa na Matendo yake Machafu.

Huyo Isa ni wenu wana msitake kumpaka mafuta afanane na Yesu wa Israeli.

Mnashindwa hata kutafakari kwa akili zenu. Kila anachosema Muhammadi ni ndio ndio tu. Oneni basi anavyo watapeli kwa swala la Yesu tu. Je na mengine.

Amkeni amkeni kama hamtaki basi

Nendeni huko Maka mkamwulizie Yesu Kristo wa Nazareti nadhani ukweli wa historia ya maisha yake mtaupata huko kwa ndugu zake Makureshi.
 
Back
Top Bottom