Umeandika ujinga mpaka nikapata uvivu wa kukujibu.Umeandika makusudi au umeamua kupotosha? Unajua kuwa Quran iliandikwa miaka mingi baada ya kifo cha Muhammad, kulingana na historia ya Uislam? Sasa alikuwa akiifasiri kwa nmna gani?
Waliokuja kuifasiri si ndio akina Ibn Kathir et al?
Kuifasiri kwa maana alikuwa anawapa maswahaba maana za hizo aya. Inaonekana hata Tafsir ya Ibn Kathir huijui na hujawahi kuisoma. Alichofanta imamu Ibn Kathiri ni kunukuu fasiri za aya alivyo fasiri mtume, maswahaba na maimamu.
Ujinga mwingine ni huu kuwa Qur'aan iliandikwa miaka mingi baada ya mtume, nitakuuliza ni miaka gani hiyo ? Wakati tangu yuko hai Mtume Qur'aan inaandikwa.
Sasa niambie ni lini Qur'aan iliandikwa.
Sasa shida hapo iko wapi ? Sijakuelewa, maana yake maswahaba walikuwa na wanafunzi na ndiyo maana hata swahaba Uthman baada ya kuandika zile nakala sita akazituma katika miji ya waislamu aliwatuma na Maquraa (wasomaji wa Qur'aan) ili wakawa fundishe watu watakao wakuta huko.Huwa unatumia Quran ipi? Maana:
1. Muhammad alisema
Narrated Abdullah bin Amr:
I heard the Prophet (ﷺ) saying, "Learn the recitation of Qur'an from four persons: Ibn Mas`ud, Salim, the freed slave of Abu Hudhaifa, Ubai and Mu`adh bin Jabal." - Sahihi Bukhari 3806
Kwa maelezo ya mtume wako, ambayo unapaswa kuyafuata hawa ndio watu wa kujifunza Quran toka kwa
Ukisoma elimu ya Qiraa utakutana na haya mambo.
Hoja yako iko wapi hapa ?. Abu Bakr alipoona watu walioishika Quran wanakufa (akiwemo Salim kwenye vita ya Yamama) akamtuma Zaid ibn Thabit kukusanya masalia ya Quran kuyaweka kama kitabu kimoja.
Abu Bakr sent for me owing to the large number of casualties in the battle of Al-Yamama, while `Umar was sitting with him. Abu Bakr said (to me), `Umar has come to my and said, 'A great number of Qaris of the Holy Qur'an were killed on the day of the battle of Al-Yamama, and I am afraid that the casualties among the Qaris of the Qur'an may increase on other battle-fields whereby a large part of the Qur'an may be lost. Therefore I consider it advisable that you (Abu Bakr) should have the Qur'an collected.' I said, 'How dare I do something which Allah's Messenger (ﷺ) did not do?' `Umar said, By Allah, it is something beneficial...' - Sahih Bukari 7191
Nimecheka sana, shida yenu hamsomi na hamtaki kusoma, Qur'aan imeshushwa katika lahaja saba huitwa "Sab'ah ahruf (Seven ahruf) ukisoma kwa ndimi hizo zote uko sahihi. Alichokihofia swahaba Hudhaifa ni kwa watu wabaadae wasije kushangaa na kupata gagaiko, ndiyo maana akamshauri swahaba Uthman waandike msahafu ambao umekusanya ndimi zote saba, na katila ndimi hizo saba kunapatikana namna kumi za usomaji na zote zilisomwa zama za mtume na ukisoma kwa namna moja kati ya hizo kumi uko sahihi.3. Uthman analetewa kesi kuwa watu wametunza Quran tofauti na wanatofautiana
Hudhaifa bin Al-Yaman came to `Uthman at the time when the people of Sham and the people of Iraq were Waging war to conquer Arminya and Adharbijan. Hudhaifa was afraid of their (the people of Sham and Iraq) differences in the recitation of the Qur'an, so he said to `Uthman, "O chief of the Believers! Save this nation before they differ about the Book (Qur'an) as Jews and the Christians did before." - Sahih Bukhari 4987
Yaani tofauti zao zilikuwa kubwa kiasi cha kuleta shida kubwa kwa Ummah.
Kwa ukanda wetu huu wa Afrika mashariki na Saudia sisi tunatumia usomaji wa Imamu Aswim ambao umepokelewa na Imamu Hafs.
Lakini kwa ujinga wako hukuangalia angalizo alilolitoa swahaba Hudhaifa kwamba isije wakatofautiana kama walivyo tofautiana Mayabudi na Wakristo. Leo wakristo maandiko yenu yako shaghalabaghala.
Sasa baada ya kunakili kila kitu, kuna haja gani ya kuwepo mabaki tena ? Hii ni akili ya kawaida tu. Uwe unahoji mambo ya msingi. Kuhoji kwa namna hii ni ishara ya kukosa hoja.4. Uthman akamtuma Zayd ibn Thabit tena pamoja na wengine wakusanye na kutengeneza Quran moja. Material mengine yote akayachoma!
`Uthman then ordered Zaid bin Thabit, `Abdullah bin AzZubair, Sa`id bin Al-As and `AbdurRahman bin Harith bin Hisham to rewrite the manuscripts in perfect copies. `Uthman said to the three Quraishi men, "In case you disagree with Zaid bin Thabit on any point in the Qur'an, then write it in the dialect of Quraish, the Qur'an was revealed in their tongue." They did so, and when they had written many copies, `Uthman returned the original manuscripts to Hafsa. `Uthman sent to every Muslim province one copy of what they had copied, and ordered that all the other Qur'anic materials, whether written in fragmentary manuscripts or whole copies, be burnt. - ibd
Kwanza unaweza kuniambia au kunithibitishia ya kuwa Swahaba Ibn Mas'ud alikuwa na Qur'aan yote ?Ibn Mas'ud." - Tirmidhi 3104
Kwa maelezo haya, yote yakitoka kwenye vitabu vya kiislam: Unadhani Quran sahihi ilikuwa ni ya Ibn Masoud au ya Zayd b Thabit, au zile zilizochomwa moto? Wewe binafsi unadhani ipi ni Quran sahihi?
Kingine mnachokosea siyo Qur'aan ipi, swali unatakiwa uulize hivi kwa usahihi "Unatumia kisomo gani kuisoma Qur'aan". Qur'aan ni moja ila kuna namna kumi za usomaji wa Qur'aan na zote zimepokelewa toka kwa mtume na zote zimedhibitiwa na maana ni moja.Na kwa siku za leo, unatumia Quran ipi, Hafs au Warsh, au zingine?
Mimi nasoma usomaji wa Imam Hafs akipokea toka kwa Imamu Aswim.