Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Unajua maana ya neno injili? Maana naoanaga wengi wanasema bial hata kujua maana yake. Na kama wangelijua maana yake, kuna ambao wangeliepuka kama Ukoma.Yesu alipewa Injili na si Biblia kasome vizuri ni kumzushia uongo ukisema alitumia Biblia
Yesu hakupewa Injili. Yesu ndio Injili yenyewe!