Huyu Issa Bin Mariamu ni nani? Uhusika wake ukoje?

Fortyseven

Senior Member
Oct 30, 2020
108
225
Ndio ni mmoja nilichosema mm kuna mambo tunatofautiana tu lakini ni huyo huyo
Gabriel alimwambia mariam(yule wa kiyahud) kuwa atakayezaliwa n mtakatifu tena akasema n Mwana wa MUNGU. Tofaut na jibril ambaye hajui kama KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU
 
Fortyseven

Senior Member
Oct 30, 2020
108
225
Huo ndo utofauti n mdogo wote walitokewa na shetani wote hawana baba wala mama sjui tunaelewana?

Tunatofautiana content tu points zile zile.
Hapana hawa n malaika wa2 tofauti na hwenda mmoja wapo hayupo kabisa hajawah kutokea n wa kutungwa hasa.😇
 
nyange__

Senior Member
May 8, 2020
157
500
Gabriel alimwambia mariam(yule wa kiyahud) kuwa atakayezaliwa n mtakatifu tena akasema n Mwana wa MUNGU. Tofaut na jibril ambaye hajui kama KRISTO YESU ni mwana wa MUNGU
Mkuu wacha kubisha MUNGU ni mmoja malaika ni huyo huyo adam na hawa ndo wale wale was waislam na wakristo hata hao wayahudi pia
 
Fortyseven

Senior Member
Oct 30, 2020
108
225
Mkuu wacha kubisha MUNGU ni mmoja malaika ni huyo huyo adam na hawa ndo wale wale was waislam na wakristo hata hao wayahudi pia
N kwel kabisa lkn adam na hawa wa kwenye biblia takatifu n tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu. Inshort biblia haifanani na wala haipatan na quruan tukufu .
 
nyange__

Senior Member
May 8, 2020
157
500
N kwel kabisa lkn adam na hawa wa kwenye biblia takatifu n tofauti na adam na hawa wa kwenye quruan tukufu. Inshort biblia haifanani na wala haipatan na quruan tukufu .
Zinafanana kwa kiasi chake hata kama moja ni ya uongo kama ulivyosema bas mmoja amekopi baadhi ya content kwa mwenzie

Sjui unachobisha ni kitu gani achana na point za dini twende kwenye uhalisia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom